Uchambuzi makini: Utabiri kuhusu nani atakuwa Rais wa Zanzibar

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,066
Nikiwa kama mchambuzi mbobezi wa masuala ya siasa za Zanzibar. Napenda kutoa utabiri wangu kuhusu nani atakua Rais wa Zanzibar.
Najua wengi HASA bara hawajui nani ataibuka kidedea.....

Kwanza nawatoa hofu wanaccm wote wanaoonekana kuhofia mtanange huu mkali dhidi ya wapinzani wao. Ukweli ni kua Dk shein amebakia anayekubalika zaidi na atashinda na kuendelea kua Rais wa mapinduzi ya Zanzibar kwa uchaguzi huu wa kidomokrasia na kihistoria...

Tshirt zA kuvaa tayari zimeshaandaliwa...
Hotuba ya pongezi imeshaprintiwa tayari...
Na cheti cha mshindi kimeshawekwa tayari.. Muache hofu, huyu mwali wenu.....

Mchambuzi 2013 anapatikana kwa Email yake;
Pokiticszenji@gmail.com
 
Zile Tshirt zipo toka mwaka jana rafiki.Waandae suti tu wakasheherekee.
 
Kweli kabisa atashinda kwa ushindi wa tsunami, na watanzania wooooote tutasherehekea ushindi wake
 
Back
Top Bottom