UCHAMBUZI: Kuangushwa kwa ndege ya F-15 ni mwanzo tu kwa Israel, huenda ikapata vipigo zaidi

Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

Wachambuzi wa Vita wanasema Syria na Iran waliweka Mtego na walijua kuwa Israel itajibu kwa Ndege so wakajiandaa karibu nusu ya mifumo yao ya kutungua Ndege kwa uelekeo mmoja so ndege ilipopita wakaisubiri tu ikiwa inarejea wakaanza kurusha ovyo ovyo makombora angani... Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.

Kama Mawazo yako unaona siku zijazo Israel atapata Hasara umokosea Sana kwani baada ya Ndege kuanguka wakatuma Ndege mbili kuwachakaza kwa muda wa Masaa Mawili maeneo 12 matata na wadadisi wanasema hakuna Jeshi linaloweza kuteketeza target kumi na mbili kwa muda huo... Wasiryia na Wageni 6 Wamepoteza Maisha yao huko nadhani hao wageni hawataki kuwasema kama ni Wairan... maana Irani wamekasirika Sana kuhusishwa.. na Mifumo iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...
Mkuu asikupe shida; huyo ni mchambuzi wa Kishia. Naona walifanya sherehe kwa kudondosha ndege moja lakini "matusi" waliyofanyiwa wanayajua na vidomodomo wote kimya kabisa!
 
Ndege mbili zinaingia anga la syria na kutumia masaa mawili kuteketeza maeneo 12,

-kwani F-16 inabeba makombora mangapi jamani?

-yaani masaa mawili uko anga la watu unaambaa ambaa tu?

Wao kama wanafarijika kusema hivyo ni sawa,unajua ni aibu sana ndege ya israel kudodoshwa na silaha ya mwaka 1950?,

silaha za israel huwa ziko very superior,zinatengezwa special kwa ajili yao na wakizipokea wanaziongeza na utaalamu mwingine kwa kuweka components zao,ndo maana ni rahisi kuitungua F-16 ya uturuki kuliko ya israel
 
Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...

Hizi habari mnazipata kutoka source gani?? Kama mambo yalikuwa rahisi kwa jeshi la anga la Israel kwa nini watu wenye hekima huko Israel including baadhi ya wabunge wamakuwa very much concern na tukiuo zima, wanafkia hatua ya kupendekeza Serikali ya Marekani na Urusi wajaribu kushawishi Syria na Israel wasikuze mambo.

Binafsi kelele za Waziri mkuu wa Israel na majisifu yake yanatikia shaka sana, kwa nini yupo obsessed na Iran na kujaribu kuhadaa Dunia as if Syria haina uwezo wa kushambulia ndege za Israel bila ya kuwatumia ujuzi/experience ya Iran, kuna kitu Israel inaogopa si bure na wakiendelea na uchukozi wao wa kuvamia anga la nchi huru kwa visingizio mbali mbali wasitegemee Syria na washirika wao wataendelea kuvumilia ushenzi wa Natenyau - watapata fundisho ambalo hawakutegemea - Waisrael wenye akili timamu wamesha liona hilo ndio maana wanashauri pawepo mazungumzo sio kutumia mabavu _ Israel haina uwezo wa ku-sustain mapigano ya muda mrefu kumbuka vita does not depend on airforce tu actually boots on the ground counts a lot - uwezo huo Waisreal hawana - tuliona yaliyo tokea Gaza na Lebanon waliendeshwa puta na wana mgambo na vi-roketi vinavyo undwa kwenye backyard za Wapalestina - leo hii ndio wajifanye wanaweza kupigana na jeshi la Iran, Syria na wanamgambo wa Hezibora na Hamas - wanajitafutia balaa tu.
 
Unajaribu kuongea ila umejawa na uoga pole sana... Wewe ndio unaona Israel haina uwezo wa kupigana kwa Muda Mrefu nakushauri uwaulize Waarabu kwanza... na Waarabu wanavyoichukia Israel walishaamua na walishakuwa na mawaazo kama yako hayo ya kizembe wakaingia vitani kilichowatokea kwa mara ya kwanza na mara ya pili hawana hamu tena... Hao magaidi Hamas na Hezbollah am sure hadi leo wanajutia maana walikuwa wanajificha kwa raia sasa formula ya vita hata ukiwa mtoto ukirusha silaha umejihalalisha kupigwa... Damage waliyopata Lebabon na Gaza ni bora wasingejaribu na kwa Uhakika hawataki kujaribu kupigana na Israel Vita ni Uchumi so Iran anauchumi safi kiserikali so anapiganisha waarabu tu ila Serikali za kiarabu zimegoma zinajua wataambulia Magofu na vifo... so uzandiki Iran inamuuma sana.. Vita nyingi ni hesabu na usifikiri nchi moja inaweza kusimama pekeyake nope tafiti na misaada huitajika.. Hata Saudia ni tajiri still need more ammunition everyday katika vita yake kila bomu au risasi inayotumika inahitaji kuwa replaced.

Ila usiiletee kadhia Israel Waarabu wanaumia wenzio. Ni Utoto kujidanganya ati Israel alipigwa na Hamas au Hezbollah ni Goal 100% la israel halikutimia maana walitaka kuwamaliza wote tatizo wanajificha kwa raia na Dunia tu ndio iliwaokoa hao waarabu kwa maandamano ya kila sehemu duniani... Waarabu wenyewe wanajua walikuwa matesoni na majonzini ndio maana waliandamana wewe nyuma ya keyboard yako unajisifu Israel ilishindwa... kereee...
 
Ndege mbili zinaingia anga la syria na kutumia masaa mawili kuteketeza maeneo 12,

-kwani F-16 inabeba makombora mangapi jamani?

-yaani masaa mawili uko anga la watu unaambaa ambaa tu?

Wao kama wanafarijika kusema hivyo ni sawa,unajua ni aibu sana ndege ya israel kudodoshwa na silaha ya mwaka 1950?,

silaha za israel huwa ziko very superior,zinatengezwa special kwa ajili yao na wakizipokea wanaziongeza na utaalamu mwingine kwa kuweka components zao,ndo maana ni rahisi kuitungua F-16 ya uturuki kuliko ya israel
Acha Ujinga wewe Ndege kutunguliwa na Silaha hata ya miaka gani the issue ni kutunguliwa... una mambo ya kijinga kijinga.. Wataalam wanasema Syria iliweza kudungua sababu ndege ilipita juu sana na pilot yasemekana alisahahu kuplace kibonye ya Usalama so ndege ingepiga manuva yenyewe kukwepa... na pia Yasemekana Drone ilipotumwa walijipanga na air defense karibu nusu nchini Syria walijua Israel itajibu tu kwa Ndege so ilipokuwa inarejea basi walimimina tu ovyo ovyo na kuipata.. Japo kuna Utata pia kwa Statements Kuna moja wanasema pilot alihisi kombora alilofyatua limekwama wakaamua ku eject na Kuna statements nyingine kuwa walihisi wamekuwa hit so wakawait hadi anga yao ndipo wakaeject bado nafuatilia ipi ni ya kweli... kama kombora lilijam wasi hawakupatwa na Kombora la Syria
 
yaani wewe hujui nchi ya syria inapigana vita miaka sita na wageni kutoka nje wageni wamekuja kuitoa serikali ya syria wakisaidiwa na america na sauidia sasa kufa kwa wageni sio ajabu pili eti pailot wa israel alijisahau kuwasha mitambo hivi wewe unajua kazi ya jeshi tena jeshi la israel linaumakini sana na mitambo ya kisasa eti alijisahau unafikiri jeshi hilo ni la burundi
Acha uzembe basi pale unapofanya kosa ndipo unaadhibiwa hiyo ni formula ya kidunia kwenye nyanja zote no mistake ujue ni win win situation tu na kama unafanya mistake basi ni adhabu tu utakula
 
Mlaleo hapo uliposema rubani ilibidi asubiri afike Anga la Israel ndo aeject kivipi ikiwa Ndege imetunguliwa kwenye Anga la Syria?
Ndege inategemea imetunguliwa eneo gani la umbo lake kwani ina uwezo wa kusafiri km kadhaa tokea eneo ilipotunguliwa... kumbuka ni jet engine zina speed kali sana
 
unaishi kwa uwongo na propaganda pole sana ila ujue f-16 sio kitu tena mambo ni moto
Sasa kama israel ni mwanaume aingize tena makende yake huko syria aone
Mkuu kwa kuwa tupo hai tutaendelea kushuhudia sana Matukio na Sababu pia Wairan wameuliwa na Waisrael am sure watachokoza tu tena... Israel haogopi Muslim yeyote kwani Muslim Walishatangaza miaka ya tokea Dini inaanza kuwa Waisrael ni Maadui wao so ndio maana Wapo na Wataendelea kuwepo uoga kaa nao wewe tu.
 
Ndege mbili zinaingia anga la syria na kutumia masaa mawili kuteketeza maeneo 12,

-kwani F-16 inabeba makombora mangapi jamani?

-yaani masaa mawili uko anga la watu unaambaa ambaa tu?

Wao kama wanafarijika kusema hivyo ni sawa,unajua ni aibu sana ndege ya israel kudodoshwa na silaha ya mwaka 1950?,

silaha za israel huwa ziko very superior,zinatengezwa special kwa ajili yao na wakizipokea wanaziongeza na utaalamu mwingine kwa kuweka components zao,ndo maana ni rahisi kuitungua F-16 ya uturuki kuliko ya israel
Hapo napo mimi nimepashangaa na nafikiria hawakushambulia kitu either makombora waliyajam
 
Acha Ujinga wewe Ndege kutunguliwa na Silaha hata ya miaka gani the issue ni kutunguliwa... una mambo ya kijinga kijinga.. Wataalam wanasema Syria iliweza kudungua sababu ndege ilipita juu sana na pilot yasemekana alisahahu kuplace kibonye ya Usalama so ndege ingepiga manuva yenyewe kukwepa... na pia Yasemekana Drone ilipotumwa walijipanga na air defense karibu nusu nchini Syria walijua Israel itajibu tu kwa Ndege so ilipokuwa inarejea basi walimimina tu ovyo ovyo na kuipata.. Japo kuna Utata pia kwa Statements Kuna moja wanasema pilot alihisi kombora alilofyatua limekwama wakaamua ku eject na Kuna statements nyingine kuwa walihisi wamekuwa hit so wakawait hadi anga yao ndipo wakaeject bado nafuatilia ipi ni ya kweli... kama kombora lilijam wasi hawakupatwa na Kombora la Syria
Sasa wewe unaandika kwa jazba na kuwaita wenzio majina mabaya ndiyo nini???Kwenye hiyo ndege iliyoangushwa unaumiliki wa asilimia ngapi???
 
Hapo napo mimi nimepashangaa na nafikiria hawakushambulia kitu either makombora waliyajam

Spot on mkuu, binafsi kelele na majisifu ya Netanyahu yalidhilisha wazi wazi kwamba operation yote ya kujaribu kuishambulia Syria kutoka angani mafanikio yake yalikua sawa sawa na hakuna sina shaka Syria na Iran waliwazidi kete Waisrael kwa kuhamisha hamisha Defence sytems zao possibly na kujam smart bombs za Wayahudi, Wayahudi walicho sahau ni kwamba radar za Warusi zilizopo kwenye Military bases za Warusi huko Syria zina uwezo mkubwa wa ku-scan eneo kubwa la Mashariki ya kati zinafanya kazi 24x7 hivyo ndege za Israel zinaporuka kuja kushambulia Syria zinaonekana kwenye radar then Urusi inawapa taarifa mapema Jeshi la Syria linapanga mbinu za ku-deal/contain tishio.

Kukasirika kasikika ovyo kwa Waziri Mkuu wa Israel na maneno chungu mzima sina shaka ni mbinu za kutaka ku-mask kushindwa kwao kutimiza malengo yao wanayo shirikiana na Trump kutaka kuendeleza mgogora nchini Syria kwa kujaribu kuhujumu mafanikio ya jeshi la Syria, Putin na Iran dhidi ya ISIS?Daesh.

Natenyahu wakisaidia kwa kutunga stori zisizo na mshiko kwamba wamefanikiwa kuharibu Air Defence System za jeshi la Syria vile vile na vituo vya kuongozea Drones vilivyo chini ya usimamizi wa Iran - majigambo yote hayo ya Natenyahu hawatuonyeshi hata video clip moja inayo onyesha walao smart bomb moja likilipua hata target moja nchini Syria, kumbuka jetfighters zote zimefugwa video camera zinazo onyesha mashambulizi, bila kujali kama mashambulizi yalifanyika mchana au usiku - narudia tena kuhoji kwa nini Jeshi la anga la Israel halionyeshi picha au video clips za mafanikio yao kulipua vituo vyote wanavyo dai walivisambaratisha nchini Syria??

Badala yake wanatuonyesha Drone waliotungua wakidai ilirushwa na Wairan, binafsi nachukulia kutunguliwa wa Drone kilikuwa ni kisingizio au tuseme ulikuwa ni usanii wa Isreal wa kutafuta kisingizio cha kuishambulia Syria wakiwa ni imani kwamba Syria haina uwezo wa kujibu mashambulizi, safari hii wamepata cha moto na marubani wake wamekiri kwamba Air Defence kwenye anga la Syria alikuwa very dense, Marubani wa Israel wanasema ukweli - Netanyahu anafanya propaganda za kitoto tu.
 
N
Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

Wachambuzi wa Vita wanasema Syria na Iran waliweka Mtego na walijua kuwa Israel itajibu kwa Ndege so wakajiandaa karibu nusu ya mifumo yao ya kutungua Ndege kwa uelekeo mmoja so ndege ilipopita wakaisubiri tu ikiwa inarejea wakaanza kurusha ovyo ovyo makombora angani... Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.

Kama Mawazo yako unaona siku zijazo Israel atapata Hasara umokosea Sana kwani baada ya Ndege kuanguka wakatuma Ndege mbili kuwachakaza kwa muda wa Masaa Mawili maeneo 12 matata na wadadisi wanasema hakuna Jeshi linaloweza kuteketeza target kumi na mbili kwa muda huo... Wasiryia na Wageni 6 Wamepoteza Maisha yao huko nadhani hao wageni hawataki kuwasema kama ni Wairan... maana Irani wamekasirika Sana kuhusishwa.. na Mifumo iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...[/QUOTE
Hamna sehemu naichukia kama Middle East! Laana ipo huko kama Afrika!
 
Back
Top Bottom