Huyu dogo siku zote alikua mstari wa mbele kuleta choko choko za muungano akishirikiana na bosi wake Rais mstaafu wa visiwani. Hii exposure anayopewa ya ulaji kwenye serikali ya JMT itasaidia kumnyamazisha?
Nyie watu mlio ingia november kuna jukwaa la utambulisho ni vyema mkianzia huko maana mnakuja kwa kasi na mtaletea matatizo viongozi wa jf,angalieni lugha zenu
Nyie watu mlio ingia november kuna jukwaa la utambulisho ni vyema mkianzia huko maana mnakuja kwa kasi na mtaletea matatizo viongozi wa jf,angalieni lugha zenu
Halafu mzanzibar akija kwenye serikali ya muungano anafaidi zaidi. kimsingi zanzibar wanatunyonya watanganyika. Muda si mrefu watanganyika wataanza kudai haki zao ambazo wanzibara wamezichukua na pesa yote ambayo wanachukua kuendeshea serikali lao la mapinduzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.