UCHAMBUZI: Dogo kapewa "exposure"

In Focus

New Member
Nov 11, 2010
3
0
Huyu dogo siku zote alikua mstari wa mbele kuleta choko choko za muungano akishirikiana na bosi wake Rais mstaafu wa visiwani. Hii exposure anayopewa ya ulaji kwenye serikali ya JMT itasaidia kumnyamazisha?
 
Naona sasa hivi utaratibu ni kwamba huwezi kuwa kiongozi wa juu zenji bila kutokea uongozini bara!
 
Wote wazushi wanagawana mafungu tu.Hakunajipya ndani ya ccm.Wote wamechakachuliwa hawana nia njema na nchi yetu wanajali matumbo yao2 na familia zao
 
Nyie watu mlio ingia november kuna jukwaa la utambulisho ni vyema mkianzia huko maana mnakuja kwa kasi na mtaletea matatizo viongozi wa jf,angalieni lugha zenu
 
Nyie watu mlio ingia november kuna jukwaa la utambulisho ni vyema mkianzia huko maana mnakuja kwa kasi na mtaletea matatizo viongozi wa jf,angalieni lugha zenu

IN english, you people WHO JOINED AUGUST ur too fast look ur comments better to start reading member intro. JF will get trouble, this is too low
 
Halafu mzanzibar akija kwenye serikali ya muungano anafaidi zaidi. kimsingi zanzibar wanatunyonya watanganyika. Muda si mrefu watanganyika wataanza kudai haki zao ambazo wanzibara wamezichukua na pesa yote ambayo wanachukua kuendeshea serikali lao la mapinduzi
 
Back
Top Bottom