UCHAMBUZI: Biashara ya ukahaba

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Ukahaba (kutoka Kiarabu: قحبه qahabatun = malaya) ni tabia au tendo la kufanya ngono nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Mtendaji anayepokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja.

Kama ukahaba unaendeshwa katika nyumba maalumu mahali hapo panaitwa danguro.

Kimsingi kuna aina mbili za ukahaba.

Malaya anajifanyia kazi na kuamua mwenyewe namna gani. Huyu atapatikana mara nyingi akitembea barabarani, kusubiri kwenye mabaa au kwa kutangaza namba ya simu. Wanajitangaza pia kupitia intaneti na kukutana na wateja mahali mbalimbali.

Malaya wanafanya kazi chini ya usimamizi wa mtu mwingine au watu wengine. Hali yao inaweza kufanana na aina ya ajira wakilipwa kwa kila tendo la ngono kutoka msimamizi anayepokea fedha; au wanatakiwa kutoa malipo kwake kutokana na mapato yao. Kundi hili linapatikana mara nyingi katika danguro, lakini wako pia barabarani katika maeneo maalumu wanapotazamiwa na kuwadi.

Katika kundi hili kuna hasa aina ya utumwa wa kingono ambapo mabinti na wanawake wanalazimishwa kujiuza kwa wateja. Mwaka 2009 Umoja wa Mataifa ulikadiria kwamba 79% za watu wanaouzwa ni kwa ajili ya biashara ya ukahaba ambayo imekuwa hivyo biashara ya watumwa kubwa kuliko zote za historia ya binadamu. Kila mwaka watu 800,000 hivi wanavushwa mipaka ya nchi zao kwa ajili hiyo, wakiwemo hasa wanawake, wale wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa hadi 50%.

Misimamo ya jamii na sheria inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hata kama ukahaba unapatikana kote duniani, umepigwa marufuku katika nchi nyingi. Lakini mahali pengi penye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafumba macho au kutofuatilia biashara hii.

Kati ya misimamo kuhusu ukahaba iko ifuatayo:

Ukahaba hutazamwa kama jinai. Watendaji wanatishiwa kwa adhabu za kisheria kuanzia faini, jela hadi adhabu ya mauti (kama Saudia). Mara nyingi ni hasa makahaba wanaolengwa kwa adhabu hizi, lakini mahali pengine pia wateja. Hata hivyo katika nchi nyingi zenye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafumba macho au kutofuatilia biashara hii.

Ukahaba hutazamwa kama ubaya unaovunja heshima hasa ya wanawake, yaani malaya. Malaya huangaliwa kama waathirika wanaostahili kusaidiwa, kwa hiyo hawana adhabu. Lakini wote wengine wanaofaidika na ukahaba wanalengwa kwa adhabu: wenye danguro, makuwadi, washiriki katika biashara ya makahaba hadi wateja wenyewe katika nchi kadhaa (mfano: Uswidi).

Ukahaba hutazamwa kama ubaya usioshindikana, kwa hiyo serikali imetunga sheria na taratibu kwa lengo la kupanga upatikanaji wa ukahaba. Danguro zinapaswa kuandikishwa serikalini, zinatembelewa na idara ya afya ya umma; malaya wanaruhusiwa katika mitaa maalumu ya miji pekee, wanapaswa kupimwa na kupatiwa matibabu mara kwa mara. Vijiji na miji midogo vinaweza kuzuia ukahaba katika maeneo yao.

Ukahaba hautazamwi tena kama jinai wala kosa bali kama chaguo la watu wazima. Kwa hiyo ukahaba huangaliwa kama namna ya biashara kama biashara nyingine; malaya huitwa "wafanyakazi wa ngono", wanatakiwa kulipa kodi na wanalindwa na sheria za kazi (mifano Uholanzi na Ujerumani).

Utaratibu maalumu uko katika Uajemi ambako kuna "mutaa" au ndoa ya muda kulingana na mafundisho ya Kishia. Chini ya utaratibu wa mutaa kuna uhusiano unaolingana na ndoa au pia urafiki katika nchi nyingine; lakini mutaa inaruhusu pia mikataba ya muda mfupi na inadai mapatano juu ya malipo upande wa mwanamume. Kwa hiyo inapatikana pia kama njia ya ukahaba ambao vinginevyo ni marufuku nchini Uajemi.

Si siri kwamba ukahaba unachangia sana uenezi wa maradhi ya zinaa, ukiwemo UKIMWI.
 
Nadhani kwenye taasisi za serikali ndio machimbo makubwa ya maambukizi kwakuwa watu wanajifanya wanaaminiana sana halafu wanachangiana wapenzi bila kificho... Wanakulana hata saa za kazi ndani ya maofisi vyooni na store
Hawa ni wadangaji cold prostitutes...
Taasisi za serikali zilizomaliza watu ni pamoja na
IDARA YA ELIMU
NHC
TRA
NSSF
BANDARI
TANROADS
nknk
Hao machangu wa mitaani si kivile kwakweli kwakuwa wanafanya biashara na hakuna kuaminiana Nazjaz
 
Nadhani kwenye taasisi za serikali ndio machimbo makubwa ya maambukizi kwakuwa watu wanajifanya wanaaminiana sana halafu wanachangiana wapenzi bila kificho... Wanakulana hata saa za kazi ndani ya maofisi vyooni na store
Hawa ni wadangaji cold prostitutes...
Taasisi za serikali zilizomaliza watu ni pamoja na
IDARA YA ELIMU
NHC
TRA
NSSF
BANDARI
TANROADS
nknk
Hao machangu wa mitaani si kivile kwakweli kwakuwa wanafanya biashara na hakuna kuaminiana
Well said. Kuna boss alikuwa anawahi Sana ofisini, kumbe kuwahi kote ana mabinti wawili wa kufanya usafi wanafanya threesome.
Basi kuna siku secretary akawa na viporo vyake akajihimu ofisini, akaendelea na kazi.
Hakujua kuwa boss tayari kafika, Kuna documents zilikuwa ofisini kwa boss, akaona azifuate, ile kuingia akawakuta wako uchi wa mnyama wanagegedana
 
Duu
Well said. Kuna boss alikuwa anawahi Sana ofisini, kumbe kuwahi kote ana mabinti wawili wa kufanya usafi wanafanya threesome.
Basi kuna siku secretary akawa na viporo vyake akajihimu ofisini, akaendelea na kazi.
Hakujua kuwa boss tayari kafika, Kuna documents zilikuwa ofisini kwa boss, akaona azifuate, ile kuingia akawakuta wako uchi wa mnyama wanagegedana
 
Ukahaba (kutoka Kiarabu: قحبه qahabatun = malaya) ni tabia au tendo la kufanya ngono nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Mtendaji anayepokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja.

Kama ukahaba unaendeshwa katika nyumba maalumu mahali hapo panaitwa danguro.

Kimsingi kuna aina mbili za ukahaba.

Malaya anajifanyia kazi na kuamua mwenyewe namna gani. Huyu atapatikana mara nyingi akitembea barabarani, kusubiri kwenye mabaa au kwa kutangaza namba ya simu. Wanajitangaza pia kupitia intaneti na kukutana na wateja mahali mbalimbali.
Malaya wanafanya kazi chini ya usimamizi wa mtu mwingine au watu wengine. Hali yao inaweza kufanana na aina ya ajira wakilipwa kwa kila tendo la ngono kutoka msimamizi anayepokea fedha; au wanatakiwa kutoa malipo kwake kutokana na mapato yao. Kundi hili linapatikana mara nyingi katika danguro, lakini wako pia barabarani katika maeneo maalumu wanapotazamiwa na kuwadi. Katika kundi hili kuna hasa aina ya utumwa wa kingono ambapo mabinti na wanawake wanalazimishwa kujiuza kwa wateja. Mwaka 2009 Umoja wa Mataifa ulikadiria kwamba 79% za watu wanaouzwa ni kwa ajili ya biashara ya ukahaba ambayo imekuwa hivyo biashara ya watumwa kubwa kuliko zote za historia ya binadamu. Kila mwaka watu 800,000 hivi wanavushwa mipaka ya nchi zao kwa ajili hiyo, wakiwemo hasa wanawake, wale wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa hadi 50%.

Misimamo ya jamii na sheria inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hata kama ukahaba unapatikana kote duniani, umepigwa marufuku katika nchi nyingi. Lakini mahali pengi penye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafumba macho au kutofuatilia biashara hii.

Kati ya misimamo kuhusu ukahaba iko ifuatayo:

Ukahaba hutazamwa kama jinai. Watendaji wanatishiwa kwa adhabu za kisheria kuanzia faini, jela hadi adhabu ya mauti (kama Saudia). Mara nyingi ni hasa makahaba wanaolengwa kwa adhabu hizi, lakini mahali pengine pia wateja. Hata hivyo katika nchi nyingi zenye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafumba macho au kutofuatilia biashara hii.
Ukahaba hutazamwa kama ubaya unaovunja heshima hasa ya wanawake, yaani malaya. Malaya huangaliwa kama waathirika wanaostahili kusaidiwa, kwa hiyo hawana adhabu. Lakini wote wengine wanaofaidika na ukahaba wanalengwa kwa adhabu: wenye danguro, makuwadi, washiriki katika biashara ya makahaba hadi wateja wenyewe katika nchi kadhaa (mfano: Uswidi)
Ukahaba hutazamwa kama ubaya usioshindikana, kwa hiyo serikali imetunga sheria na taratibu kwa lengo la kupanga upatikanaji wa ukahaba. Danguro zinapaswa kuandikishwa serikalini, zinatembelewa na idara ya afya ya umma; malaya wanaruhusiwa katika mitaa maalumu ya miji pekee, wanapaswa kupimwa na kupatiwa matibabu mara kwa mara. Vijiji na miji midogo vinaweza kuzuia ukahaba katika maeneo yao.
Ukahaba hautazamwi tena kama jinai wala kosa bali kama chaguo la watu wazima. Kwa hiyo ukahaba huangaliwa kama namna ya biashara kama biashara nyingine; malaya huitwa "wafanyakazi wa ngono", wanatakiwa kulipa kodi na wanalindwa na sheria za kazi (mifano Uholanzi na Ujerumani).
Utaratibu maalumu uko katika Uajemi ambako kuna "mutaa" au ndoa ya muda kulingana na mafundisho ya Kishia. Chini ya utaratibu wa mutaa kuna uhusiano unaolingana na ndoa au pia urafiki katika nchi nyingine; lakini mutaa inaruhusu pia mikataba ya muda mfupi na inadai mapatano juu ya malipo upande wa mwanamume. Kwa hiyo inapatikana pia kama njia ya ukahaba ambao vinginevyo ni marufuku nchini Uajemi.

Si siri kwamba ukahaba unachangia sana uenezi wa maradhi ya zinaa, ukiwemo UKIMWI.
Ukahaba upo mpaka kwenye biblia. Kuna njia nyingi za kufanya ukahaba. Soma hiyoooo...

Mwanzo 38
13 Huyo Tamari akapewa habari, kusema, Mkweo anakwenda Timna, akate manyoya ya kondoo zake.
14 Basi akavua nguo za ujane wake, akajivika utaji, akajifunika uso, akakaa mlangoni pa Enaimu, karibu na njia ya kuendea Timna. Maana aliona ya kwamba Shela amekuwa mtu mzima, wala hakuozwa awe mkewe.
15 Yuda alipomwona alimdhania kuwa ni kahaba, maana amejifunika uso.
16 Akamgeukia kando ya njia, akasema, Niruhusu niingie kwako. Maana hakujua ya kuwa ni mkwewe. Akamwuliza, Utanipa nini, ukiingia kwangu?
17 Akasema, Nitakuletea mwana-mbuzi wa kundini. Naye akamwuliza, Je! Utanipa rehani hata utakapomleta?
18 Akasema, Nikupe rehani gani? Akamjibu, Pete yako ya muhuri, na kamba yake, na fimbo yako iliyo mkononi mwako. Basi akampa, akaingia kwake, naye akapata mimba.

Cha kushangaza si hicho kisa, cha kushangaza ni kuwa huyo kahaba na watoto zake wakaja kuwekwa kwenye kizazi cha Yesu kwenye agano jipya, wakati Yesu amezaliwa.kimiujiza hana baba. Biblia imempach8ka ukoo wa ukahaba. Ona matusi haya, soma mstari wa tatu, utamkuta tena Tamari...

MLANGO 1
1 Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
2 Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
4 Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
6 Yese akamzaa mfalme Daudi; Daudi akamzaa Suleimani kwa yule mke wa uria;
7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
8 Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
10 Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
15 Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Nadhani kwenye taasisi za serikali ndio machimbo makubwa ya maambukizi kwakuwa watu wanajifanya wanaaminiana sana halafu wanachangiana wapenzi bila kificho... Wanakulana hata saa za kazi ndani ya maofisi vyooni na store
Hawa ni wadangaji cold prostitutes...
Taasisi za serikali zilizomaliza watu ni pamoja na
IDARA YA ELIMU
NHC
TRA
NSSF
BANDARI
TANROADS
nknk
Hao machangu wa mitaani si kivile kwakweli kwakuwa wanafanya biashara na hakuna kuaminiana

Mkuu ongeza na makanisani
 
umesahau idara ya polisi
 
FaizaFoxy rudi kwenye mada, hatuko kwenye family tree ya YESU
 
Asilimia kubwa ya makahaba na malaya Tanzania ni waislamu ila wanajiita Jenny,Jacky na Sikitu hataki jina na Asia anajiiita?(FA mkali sana)
 
Sasa hapo hoja yako ni nini mkuu?
 
Manslaw hierarchy of needs inaianisha ngono kama mojawapo la hitaji la mwanadamu.

Hawa ilitakiwa mazingira ya biashara ya yaboreshwe. Ichukuliwe kodi. Wateja wajiachie hata maambukizi yatapunguzwa kasi kwakua kutakua na regulatory body.
 
Nadhani kwenye taasisi za serikali ndio machimbo makubwa ya maambukizi kwakuwa watu wanajifanya wanaaminiana sana halafu wanachangiana wapenzi bila kificho... Wanakulana hata saa za kazi ndani ya maofisi vyooni na store
Hawa ni wadangaji cold prostitutes...
Taasisi za serikali zilizomaliza watu ni pamoja na
IDARA YA ELIMU
NHC
TRA
NSSF
BANDARI
TANROADS
nknk
Hao machangu wa mitaani si kivile kwakweli kwakuwa wanafanya biashara na hakuna kuaminiana

Mkuu kwa mtazamo binafsi kuna nguri umewaacha nafikiri umepitiwa kidogo....ingependeza kama ungeanza na Tanesco kwani hapo ni jikoni halafu akifuatiwa na sebuleni "Bima"

Wengi wao tuliokuwa nao miaka ya 90 sasa hivi ni historia
 
Back
Top Bottom