Uchakachuzi kuchelewesha matokeo kidato cha nne. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuzi kuchelewesha matokeo kidato cha nne.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Tilya18, Jan 29, 2012.

 1. T

  Tilya18 Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yadaiwa kuwa kutokana na uchakachuzi, matokeo ya kidato cha nne yatachelewa. Inasemekana kuwa matokeo hayo yanachakachuliwa kutokana na kuwa mabaya kiasi cha kutisha ambavyo ingeweza kuleta aibu kwa taifa na wizara husika; hivyo baraza linajaribu kuyaboresha ili kuondoa aibu ambayo ingelipata taifa hili.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kama kweli basi itafahamika2.
   
Loading...