Uchakachuaji wa kura za raisi ulianza tangu mwaka wa 1995 na Nyerere aliubariki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji wa kura za raisi ulianza tangu mwaka wa 1995 na Nyerere aliubariki!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by awtu, Jan 2, 2011.

 1. a

  awtu Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sote tunakumbuka jinsi Maalin Seif alivyoshinda Zanzibar na Lyatonga alivyoshinda Dar lakini kwa ruksa ya Nyerere Serikali ya Mzee Mwinji ilichakachua matokeo.
  Pia Majaji makini walirule ya kuwa matokeo ya raisi yawe challenged mahakamani lakini serikali ikapeleka mswada harakaharaka bungeni na kupitisha sheria ili yasihojiwe kama ilivyo sasa. Yote haya Mwalimu aliyabariki kwa maana ya kuwahakuyakemea.
  http://www.mwananchi.co.tz/mwananchi-jumapili/40-habari-mwananchi-jumapili/7977-serikali-ilichakachua-ushauri-wa-jaji-mkuu

  Kwa maana hii, mimi naona JK kuchakachua matokeo ya Dr Slaa ni mwendelezo wa aliyoyaasisi Mwalimu!

  Wanajamvi mnasemaje kuhusu hili?:angry:
   
Loading...