Uchakachuaji: Tunaomba Chadema Watupe Kura Halisi Kwenye Majimbo


Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,430
Likes
1,280
Points
280

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,430 1,280 280
Jamani mimi nina amini hapa JF kila mtu amepita skuli.

Tunaomba uongozi wa Chadema watoe matokeo halisi ya majimbo (kwa kutumia fomu za mawakala). Angalau kwa majimbo 100 hivi.

Lengo:

Tuchunguze mathematically, ni nini walichokuwa wanafanya wachakachuaji kuzitafuta asilimia zilizotangazwa na Synovate?

Inawezekana.

Leteni matokeao.
 

Forum statistics

Threads 1,203,858
Members 456,992
Posts 28,132,345