Uchakachuaji sasa hivi umekuwa donda ndugu

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Nimeandika thread yangu nikinungukia semina elekezi, pamoja na kichwa cha thread hiyo kuonyeshwa chini ya jina langu lakini maelezo yaliyopo ni ya mtu mwingine nayo yanahusu baraza la mawaziri. Sasa nieleweje, hata JF tayari tumekwisha ambukizwa hiki kirusi cha kuchakachua.
 
Back
Top Bottom