Uchakachuaji mpya wa mafuta huu hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji mpya wa mafuta huu hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chereko, Aug 12, 2011.

 1. C

  Chereko Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Vituo fulani vya mafuta wame de-calibrate; ukinunua lita tano mashine yaonyesha yes 5 liters lakini ulichopata ni lita 4.5 au lita 4, unalipa bei ya lita tano. Hii nimethibitisha jana. Ukitaka kujua jaribu kununua mafuta kwa lita ulizozoea na jaribu baada ya kujaza kuangalia geji, utashangaa.

  Wazee wa mizani na vipimo wachukue zana zao wapite mitaani .............
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ndiyo unajua leo? Mi nimekoma tangu yaliponikuta yaliyokuta pale Bamprass Arusha mjini yani Idara husika nao cjui wana njama gani na wahusika.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  you are so yesterday
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  MIZANI ZA NYAMA ZENYEWE ZNACHAKACHULIWA IJEKUWA SHELI? HII NJI KILA MTUY ANAKWIBA
   
 5. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Naona njia nzuri ya kuwakamata huu ujanja ni kwenda na galoni..unanunua lita tano halafu uone zinafikia kile kipimo cha lita tano au laah. wakikuwekea kwenye tanki ni rahisi sana kukuibia...kwa kuangalia gauge pekee yake tuu ni challenge kiasi fulani kugundua ni kiasi gani cha mafuta wamekuibia..

   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  hao wazee wako unaowaitaji wako kwenye payroll za hivyo vituo unafikir kinachofwata
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Walalahoi hatuna mtetezi.
   
Loading...