Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,593
- 29,711
Wacha propaganda zako kabisa wewe mtu. mgombea anazungukwa na waandishi mpaka kwenye kitanda???? umeambiwa hii ishu ilifanyika usiku. uwe makini unapokuja na hoja za kijinga hapaMkuu Luteni,
Sio wakati wa kampeni ambapo mgombea amezungukwa na waandishi kila upande. Siku hiyo JK angelikuwa Mwanza bila kutegemewa, tungelipata hapa JF mara moja.
Naanza kupata uhakika kwamba hiyo barua ni forgery. Hata majina yalivyoandikwa ni kimakosa makosa tu.
Siasa za namna hii kweli zitatupeleka pabaya Tanzania. Kufikia kesho tutakuwa tumejua maana vyombo vya habari vyote vitakuwa vinaipitia hii barua.
Tunajua yanayojiri na kinachotendeka kizani tunakijua.
Mgombea gani aliyewahi kuongozana na mwandishi kwa waganga wa kienyeji??? sasa kuhusu hii barua haina tofauti na uchawi dhidi ya taifa.
MBONA hamna huruma na watanzania ninyi watu?????