Uchaguzi...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by san, Aug 30, 2010.

 1. s

  san Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu wa tanzania mnalichukuliaje swala la tbc taifa kuwakatia chadema matangazo?
  binafsi nilidhani wangekua waungwana na kuhakikisha kuwa wanavitendea vyama vyote sawa

  je hii sio matumizi mabaya ya madalaka?

  je wataweza kutushawishi watanzania tukawaelewa?
   
 2. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi ni mpenzi sana tena sana wa CHADEMA...Kiukweli kuna maneno ambayo waliyaongea si mazuri but katika swala zima la kuwakatishia matangazo mimi siliafiki,lakini pia inategemea na mkataba waliowekeana.
   
Loading...