singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
ccm hatuwezi achia pale
malipo ni hapa hapa mbona ndani ya chadema hamna demekrasia mbona ndani ya cuf hamna demokrasiaHuo uhuni wa serikali ya CCM usifumbiwe macho, ni ishara tosha ya ubakwaji wa demokrasia nchini. Kama nchi hii inayopigiwa mfano wa amani tunafanya hivi, tuna tofautu gani na mtu kama Kurunzinza?
Unapenda kusikia unavyovipenda. Ulitaka waandike Sefu kukabidhiwa Ikulu February...!Raia Mwema sikuhizi limekuwa kama gazeti la udaku.....
Kubenea aliandika kwenye kipeperushi chake cha Mawio hiyo sijui ile habari aliipata wap yule mwehuUnapenda kusikia unavyovipenda. Ulitaka waandike Sefu kukabidhiwa Ikulu February...!
EL alipata kura ngapi kwenye mchakato wa kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya Chadema na alipambana na wagombea wangapi? Matokeo hayo yanapatikana wapi katika ofisi za Chadema? Kama hakuna majibu ya kitakwimu CHADEMA hana moral authority kuzungumzia demokrasia katika ngazi za kitaifa.nkanaRedi said:Huo uhuni wa serikali ya CCM usifumbiwe macho, ni ishara tosha ya ubakwaji wa demokrasia nchini. Kama nchi hii inayopigiwa mfano wa amani tunafanya hivi, tuna tofautu gani na mtu kama Kurunzinza?
wewe ndo mjinga kuingilia mambo ya siasa wakati hujui mahudhui yake, siasa zimekuwepo kabla hujazaliwa, ww bila kufikiri uliingia kichwakichwa ukidhani kuwa ndo umefika-huyo Shariff alikuwemo kwenye siasa za ccm, Lowasa pia na wengine unaowafahamu ww-kwa msingi huo, hakuna jipya chini ya jua na utaendelea kukaririshwa sana2 bro-pole sana!Maalim Seif amekubali??
Nitamuona mjinga kati ya wajinga wote waliowahi kutokea ktk nchi hii. Na hapo ndipo nitakapoamini kwamba hakuna upinzani wa kweli Tanzania. Wote hawa ni wachumia matumbo tu, Wakishashiba/ Shibishwa, Wananchi wanawatupia kule
Hakyanani ni bora nikabaki mimi kama mimi siasa tupa kuleeee..!!
BACK TANGANYIKA
Maalim Seif amekubali??
Nitamuona mjinga kati ya wajinga wote waliowahi kutokea ktk nchi hii. Na hapo ndipo nitakapoamini kwamba hakuna upinzani wa kweli Tanzania. Wote hawa ni wachumia matumbo tu, Wakishashiba/ Shibishwa, Wananchi wanawatupia kule
Hakyanani ni bora nikabaki mimi kama mimi siasa tupa kuleeee..!!
BACK TANGANYIKA
Wakupime Ww, Nadhani Kama Sio SIGARA BWEGE Basi MALARIA IMEPANDA KICHWANI Au MSUKULE!! Coz Hata Unachojaribu KUROPOKA Haukifahamu!!!malipo ni hapa hapa mbona ndani ya chadema hamna demekrasia mbona ndani ya cuf hamna demokrasia
acha upuuzi bro, wewe ni mtawaliwa tu, tatizo hatujitambui kabisa, siku zote mtawaliwa huwa hana ujanja kwa nchi zetu za kiafrika, kwanza uelewa mdogo, pia hatuna elimu ya kutosha na pia uchumi wetu mdogo, kwa msingi huo watawala wataendelea kukufanya ww ni wathamani wakati wa chaguzi tu, ninaposema watawala si kwamba ni ccm bali ni kwa vyama vyote vyenye usajili wa kudumu. kama leo ukiona ccm haifai pia unatakiwa kutambua kuwa hata chadema, cuf nccr na wengineo wote hawafai-kwani hata hao pia ukiwapa nchi, utatamani ccm ingeendelea kuwa madarakani, cha msingi tujaribu kuwa na ufahamu mzuri kuhusu hawa watawala na cc watawaliawa.Kweli TZ hii mwisho wa matatizo-magazeti ,Bunge,Baraza la Madiwani etc vyote vitendea kazi vya Wanasiasa wanaojali leo yao ya matumbo na kesho ya watoto !.
Wapigakura wasipokuwa makini kumjua yupi ni Mwanasiasa masilahi na yupi siyo hali hii itaendelea na mwisho ni matatizo kama ya wenzetu Burundi,Kongo,Zimbwabwe n.k
Kwani Mh. Maalim Seif Ndiye Kauli Ya Kusema CUF Inakubali Au Inakataa Kuingia Ktk Uchaguzi Huo Wa Magumashi!!!! Wenye MAMLAKA Hayo Ni BARAZA KUU LA UONGOZI!!! Ambalo Ktk Taarifa Yake Ya Awali Wkt JECHA Akifuta MATOKEO Ya UCHAGUZI Wa 25 Oct. Lilishasema Halikubaliani Na KUFUTWA Kwa MATOKEO Na CUF Haitakuwa Tayari KUREJEWA Kwa UCHAGUZI, Kama Wanavyodai CCM!!!! Sasa Sijui Kama Wameshasema Au Kutoa Kauli Ya Kubadilisha Msimamo Wao Huo!!!! Sasa Kumlaumu Mh. SEIF Kwa Vile Tu Anashiriki MAZUNGUMZO, Sidhani Kama Iko Sawa!! Kwani Wanachama, Wafuasi Na Washabiki Ndio Wanaopiga Kura, Mh.SEIF Ana KURA 1 Tu!!!So what???? Kama CCM wanalazimisha uchaguzi na watu wanamlaumu Maalim sasa yeye asuse ili iweje? Au amwage damu