Uchaguzi Zanzibar gizani

Najua kusoma vizuri ndugu, ila wewe hujui kutumia maneno kama yapaswavyo. You need proper education and a training in writting skills
Unataka akuhadithie kama hadithi ya Kalumekenge
Grow up and learn how to read between the lines
 
Wawaachie ccm tu wachukue jimbo mwisho wa siku wananchi wenyewe watawatoa tena ccm itashangaa kuwa heee ndo hawa wamekuwa hivi ni suala la muda tu kama wao wanavyojinasibu kuhusu mapinduzi waliweza kumtoa sultan akiwa na kila kitu hivyo hivyo na wao itakuja kuwatokea ni suala la muda tu.wala upinzani wasiangaike nao
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom