Habarindiyohiyo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 263
- 13
Ndugu wanaharakati wanachama wa TYVA,Napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya TUME YA UCHAGUZI ya asasi ya TYVA inayoratibu zoezi zima la uchaguzi kutangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa kutoa fomu za kuomba ridhaa ya kuongoza asasi yetu ya TYVA. Fomu hii itawekwa pia katika tovuti yetu ya asasi (Tanzania Youth Vision Association) kwa wanaopenda kuomba ridhaa kuiongoza asasi tafadhali jaza fomu hii na irejeshwa ndani ya tarehe 30.03.2009 ofisini TYVA!! pia fomu inaweza kujazwa na kurejeshwa kwa njia ya baruapepe : tyvavijana@yahoo.com!! Tunaomba msaada wenu kupashana habari hizi.