Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,961
- 13,590
Kura zimeanza kupigwa tangu saa 1 asbh. Hali imetulia, misururu c mirefu. Kuna vituo 23 kwa ujumla. Jana alikuwepo hapa waziri wa A. Mashariki Samwel Sitta pamoja na mwanamziki Diamond kwa ajili ya kufunga kampeni za ccm, walipata aibu ya mwaka. Nitawaletea kila kinachojiri cku ya leo. Ushindi kwa chadema upo!