Uchaguzi wa udiwani kata ya ifakara, kura zinapigwa hali imetulia

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,958
13,588
Kura zimeanza kupigwa tangu saa 1 asbh. Hali imetulia, misururu c mirefu. Kuna vituo 23 kwa ujumla. Jana alikuwepo hapa waziri wa A. Mashariki Samwel Sitta pamoja na mwanamziki Diamond kwa ajili ya kufunga kampeni za ccm, walipata aibu ya mwaka. Nitawaletea kila kinachojiri cku ya leo. Ushindi kwa chadema upo!
 
Asante sana. Tupate taarifa zigine pia ya arushatuyaache kwa muda tuinize kibindoni kata zingine kama vile manchira, sengerema, lugata, mbeya vip, nachingwea je vipi huko, tangaje vip hapo nk
 
Aibu gani!!??? siruali ziliwashuka???? Funguka zaidi acha mipasho hints ndugu!!
 
yaani wewe 0 kweli, kulikuwa na nini zaidi pale kama c diamond alijaza watu? Mbona mikutano yenu mingine haikuwa na watu. Mods narudia tena ccm na Masepo wakishinda hapa nilime ban ya mwezi mzima.
 
Mungu ni mwema siku zote.Chadema tutashinda

Hakika...

Asante sana. Tupate taarifa zigine pia ya arushatuyaache kwa muda tuinize kibindoni kata zingine kama vile manchira, sengerema, lugata, mbeya vip, nachingwea je vipi huko, tangaje vip hapo nk

Aibu gani!!??? siruali ziliwashuka???? Funguka zaidi acha mipasho hints ndugu!!

yaani wewe 0 kweli, kulikuwa na nini zaidi pale kama c diamond alijaza watu? Mbona mikutano yenu mingine haikuwa na watu. Mods narudia tena ccm na Masepo wakishinda hapa nilime ban ya mwezi mzima.

Yup :thumbup:
 
Kura zimeanza kupigwa tangu saa 1 asbh. Hali imetulia, misururu c mirefu. Kuna vituo 23 kwa ujumla. Jana alikuwepo hapa waziri wa A. Mashariki Samwel Sitta pamoja na mwanamziki Diamond kwa ajili ya kufunga kampeni za ccm, walipata aibu ya mwaka. Nitawaletea kila kinachojiri cku ya leo. Ushindi kwa chadema upo!

Vipi Lipangalala? Ngome ya Magamba hiyo. Masepo hana chake kabisa
 
kaka! Ccm hawana ngome hapa, hapa ni CDM mwanzo mwisho. Matangazo ya mwisho ya matokeo yatatangazwa pale s/msingi lipangalala. Ntawapa matokeo kituo hadi kituo. 2po pa1
 
kamanda tupe data bila shaka kula zimeanza kuhesabiwa hapo mkuu..Ziroseventytwo karibu kwa updates.. au nako green guard wameanza kuvamia??
 
Back
Top Bottom