johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,840
- 141,763
Je, uchaguzi wa mbunge wa Kinondoni ambao kimsingi mpambano utakuwa kati ya Mtulia na Mwalimu utabeba sura ya kitaifa? Wahenga wenzangu nadhani mnaukumbuka uchaguzi uliompa Lyatonga Mrema ubunge wa Temeke jinsi ulivyoshirikisha viongozi wote mashuhuri wa kisiasa nchini. Je, tuutegemee ushindani kama ule safari hii. Karibu kwa wenye umri zaidi ya miaka 18 tu, ahsante!