Uchaguzi wa ubunge Kinondoni kuwa kama ule wa Temeke, Mrema vs Sisco enzi ya Mkapa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Je, uchaguzi wa mbunge wa Kinondoni ambao kimsingi mpambano utakuwa kati ya Mtulia na Mwalimu utabeba sura ya kitaifa? Wahenga wenzangu nadhani mnaukumbuka uchaguzi uliompa Lyatonga Mrema ubunge wa Temeke jinsi ulivyoshirikisha viongozi wote mashuhuri wa kisiasa nchini. Je, tuutegemee ushindani kama ule safari hii. Karibu kwa wenye umri zaidi ya miaka 18 tu, ahsante!
 
Njaa kali sana haiwezi kinondoni.

DUKvDV3WsAIeAdc.jpg
 
"tununue mtu na kumshawishi ajiuzulu kisha tumsimamishe agombee halafu baada ya matokeo ya kura tusimtangaze haiwezekani nasema haiwezekani" alisikika kada fulani akitoa maagizo
 
"tununue mtu na kumshawishi ajiuzulu kisha tumsimamishe agombee halafu baada ya matokeo ya kura tusimtangaze haiwezekani nasema haiwezekani" alisikika kada fulani akitoa maagizo
Kwani huyo mtu alijiuza yeye au aliuza ubunge wake?!!!!!
 
Jamani nimetokea mbali huku kwetu. Mambo ya kwenu huko ni mageni kwetu, Je, Ndo huyo Mwalimu keshapitishwa na Nec??
 
Back
Top Bottom