Uchaguzi wa serikali za mitaa na watu waoga

Kilaje Kitoi

New Member
Sep 5, 2019
0
2
Tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wakiwa wameogopeshwa , wametishwa hawana raha.
Binafsi nimeshuhudia viongozi wa kuteuliwa na Mh Raisi hasa Ma DC wakiwa wanawatisha wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa hata mkiwachagua wapinzani hawatatangazwa.
Hii ni mbaya Sana kwa sababu wananchi wananyimwa Uhuru wa kuchagua viongozi wao wanao wapenda.
Viongozi hawa wa kuteuliwa wasio na kura na Wala hawajui hata kuomba kura na kuahidi ni namna gani watawatumikia wananchi wameamua kuharibu Uhuru wa watu wa kuchagua na kuchaguliwa.
Matokeo ya kauli hizi za vitisho Ni mabaya Sana na wananchi wakinyimwa kuchagua watu wanaowataka wanaweza wakaamua kuchagua na kulinda kura zao halafu waone ni nani huyo anayekataa kumchagua mtu was wakiyemchagua wenyewe
 
Acha uchochezi wewe
 
NewMember huu uzi hapa si mahala pake....
Em fanya survey kwanza kabla ya kuanza kupost
 
Back
Top Bottom