Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,280
Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine.
Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu na taharuki za jumuiya ya kimataifa mimi nachelea kusema kuwa kaka yangu aliumiza sana watu tena kwa makusudi. Tungewaacha majeruhi wa utawala wake watoe mapovu mpaka watakaporidhika sababu tunajua hata leo hii Kaka angekuwapo hawa wangeendelea kulimia meno. Na hatujui 2025 angefanya vituko gani.
Dhuluma ya Chaguzi hizo mbili ni dhuluma kubwa sana kwa taifa.Suala kumsamehe au lah waachiwe walioumia na mengine aachiwe Mungu.