Uchaguzi wa Rais Tanzania upingwe Mahakamani kama sheria na taratibu zitakiukwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Rais Tanzania upingwe Mahakamani kama sheria na taratibu zitakiukwa!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tramadol, Sep 1, 2017.

 1. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 4,343
  Likes Received: 3,344
  Trophy Points: 280
  Tanzania tubadili sheria zetu kuhusu Uchaguzi wa Rais ili uweze kupingwa mahakamani kuleta usawa kidemokrasia.

  Hii itasaidia sana kuondoa haya maneno maneno ya wizi wa kura kila uchaguzi na kujenga umoja wa kitaifa.
   
 2. chakii

  chakii JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2017
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 16,478
  Likes Received: 14,134
  Trophy Points: 280
  Kibongo bongo bado sana kiongozi
   
 3. wasumu

  wasumu JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2017
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 1,911
  Likes Received: 1,521
  Trophy Points: 280
  Makes nikia mbona atatoka as I buhi keeupe
   
 4. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2017
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 19,285
  Likes Received: 6,347
  Trophy Points: 280
  We jiulize kwanini kuna jaji kiongozi then utatulia tu kimyaa
   
 5. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 24,650
  Likes Received: 15,742
  Trophy Points: 280
  Kama kwa Bomoabomoa Kaimu Jaji.yuko kimya lakini kwa Mgomo wa Mawakili wapiga kelele Nyingi.

  Hatuna Mahakama wala Majaji
   
 6. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 10,482
  Likes Received: 10,138
  Trophy Points: 280
  labda tuazime majaji kutoka kenya
   
 7. ostrichegg

  ostrichegg JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2017
  Joined: Jun 30, 2013
  Messages: 4,210
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
 8. l

  lolo123 JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2017
  Joined: Mar 2, 2017
  Messages: 371
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  Kama rafiki wa Ngosha yuko bold enough kuongea haya mbele ya media.....jiulize pia kwann hadi leo hajamteua jaji mkuu

  [​IMG]
   
 9. I

  Isa khamisi JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2017
  Joined: Mar 9, 2017
  Messages: 212
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Hapa kwetu haiwezekani kwa sababu mtu akishaingia madarakani hata hiyo katiba iliyomuweka madarakani haifuati yaani anaivunja kwa hivyo Kenyan wako mbali sana kwenye utawala wa sheria odinga alipoanza kulalamika na kuhamasisha maandamano Kenyatta hakumbughudhi Bali alimtaka aende mahakamani na mahakamani kashinda hiyo ndio democracy hapa kwetu mpaka mtu anazuiya shughuli za kisiasa cc bado tunampongeza kwa hivyo Kenya iko mbele kiuchumi,kisiasa na kidemocracy kwa miaka 50 mbele kuliko sisi mahakamani kwenyewe kesi haziendi kila cku mapingamizi tu.
   
 10. a

  adolay JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2017
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,340
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Uchwara alipata za maruhani
   
 11. Onyix

  Onyix JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2017
  Joined: Jan 15, 2014
  Messages: 268
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Yani hii kitu ikitokea Tz...kweli tutakua tumekua na tutaonyesha kweli sisi ni baba wa ukombozi wa Africa... Tatzo mahakama na majudge wanajali kitumbua chao kuliko utaifa... Utasikia maagizo toka juu... Nna hasira sana..

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2017
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,794
  Likes Received: 932
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu kitu hicho ccm na serikali yake hawawezi kuruhusu kitokee, kama wanapinga mabadiliko ya sheria inayo ruhusu ndoa za watoto itakuwaje kwa kupinga matokeo ya kura tena za urais!!!!
   
 13. Root

  Root JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2017
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 24,779
  Likes Received: 11,119
  Trophy Points: 280
  Tupigane kwanza ndio watakubali hayo masharti hivi hivi hawawezi
   
 14. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 4,343
  Likes Received: 3,344
  Trophy Points: 280
  Nini kifanyike Sasa...na Mahakama si ziko Huru au?
   
 15. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 4,343
  Likes Received: 3,344
  Trophy Points: 280
  Watanzania wafanye nini Sasa...naona kama watanzania wako mbali sana na kujua au kupigania Haki zao. Wao ni ndiyo Mzee shida iko wapi?
   
 16. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 4,343
  Likes Received: 3,344
  Trophy Points: 280
  Mahakama si ni Muhimili Huru au na majaji wako Huru!!
   
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 19,350
  Likes Received: 6,401
  Trophy Points: 280
  Hili linawezekana tu kama Watanzania tutaacha ushabiki wa kisiasa usio na maana na pili "Yule Jamaa" ataridhia mchakato wa Katiba Mpya uendelee
   
 18. balibabambonahi

  balibabambonahi JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2017
  Joined: Apr 5, 2015
  Messages: 5,094
  Likes Received: 2,948
  Trophy Points: 280
  Katiba mbovu,ibara ya 41(7) inakataza mahakama yoyote kuhoji matokeo ya rais yaliyitangazwa na tume.

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 19. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2017
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,294
  Likes Received: 938
  Trophy Points: 280
  Haiko kwenye sheria tuu .hiko kwenye sheria mama Katiba .hii dawa katiba mpya
   
 20. Tony antony

  Tony antony JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2017
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 4,339
  Likes Received: 1,739
  Trophy Points: 280
  mimi ni mwanaccm lakini ni muumini wa katiba mpya ya mhe.warioba.
  swala unaliongelea mtoa mada ni gumu kufanyika bila katiba mpya,katiba mpya ndo kila kitu haya ya kenya yameweza kufanyika kutokana na katiba mpya waliyoipigania.
   
Loading...