Uroho wa madaraka tu...Taarifa kuwa Sumaye ameangushwa na Mary Nagu kwenye uchaguzi wa NEC ni aibu kubwa kwa kiongozi mkubwa kama yeye. Labda niulize tu kuwa je kiongozi huyo ambaye alikuwa Waziri Mkuu anataka nini tena?
Mary Nagu na Sumaye wanajuana saana
wana mtoto pamoja
wewe ndo unaona kuna aibu hapo...
Boss, are you giving us this information authoritatively?
It was a big mistake he groomed his 'woman friend' to become what she is but later to be sent by her new bosses to turn her sword against him. It's 2015 in waiting. Pole sana kaka we learn by mistakes so next time watch out they are making sure that you will never resurface in active politics.
Remember what Mkapa did to his former boss Rwegasira he vowed to stamp him out of politics and he succeded.
Kambi ya Lowassa haina muda wa kupoteza kupambana na mzee wa watu aliyejichokea kiumri na kiafya!
Kwa sasa inajipanga kumweka mrithi wake mara tu Professor Mwandosya atakapoachia ngazi yaani 2015 na wakati huo ukifika akigoma tu kung'atuka yatamkuta kama Mallecela, Msekwa,Sitta.
kwanini bwana? ama unaogopa kuna maslahi yako yataguswa?nitatafuta nchi ya kuhamia mamvi akiingia ikulu!Alimradi nina haki ya kuishi!
Ah, ndugu yangu, mimi tangu zamani naamini kwa dhati kabisa "kwamba Tanzania hakuna serikali, kuna genge tu!!Habari zilizopatikana kuwa Lowassa alitengeneza timu Hanang kuakikisha jamaa afurukuti! TAKUKURU mpo wapi toka lini ukaona SACOSS watu watatu tu wanapewa treka tena wakati huu wa uchaguzi.
Umefika wakati sasa hivi nyombo vyetu vya usalama viache unafki zifanye kazi ipasanvyo! iweje taharifa zote hizi lakini hakuna aliyetiwa nguvuni.
Lowassa aliunda timu nini uko Hanang; na mapesa yote haya zaid ya millioni 300 zilizomwaga uko ili iweje? Hosea umeshindwa kazi. NCHI GANI RAIS ANAANZA KUCHAGULIWA NA KUJULIKANA KABLA HATA YA MUDA WA UCHAGUZI HAUJAFIKA.
Maslahi yangu yataguswa kweli!Mafuta,Gesi,Dhahabu na madini mengine yote ni maslahi yangu,chochote kilicho cha nchi hii ni maslahi yangu!Akiwa PM huyu jamaa ktk kipindi chake nd rate ya mikataba mingi mibovu ya kifisadi ilisainiwa (Rate= mikataba/time). Sipati picha akiwa presidaa kwa miaka mitano tu kama hajatuuza hata sie! si bora nitafute kwa kwenda!kwanini bwana? ama unaogopa kuna maslahi yako yataguswa?