Uchaguzi wa ndani CHADEMA 2018/19 Utaenda na wengi

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Kuna sura ya wazi ndani ya chama chetu cha CHADEMA inapokuja kushughulikia mambo ya ndani ya chama. Kimekuwa kinaendesha mambo kwa mikimiki sana na hata kuonyesha sura halisi ya chama kama ndo kingekuwa chama dola.

Miaka mingi nimekuwa nafuatilia uchaguzi wa chama unapokaribia huwa unambatana na kufukuzana kwa sana na kuwekena katika nafasi za maamuzi. Hili limekuwa likitafsiriwa kama kuweka wasiopinga fikra za mwenyekiti wetu, Mr. Mbowe.

Mwaka 2014/5 hali hii ilijionyesha zaidi kwa kumfukuza ZZK ndani ya chama pamoja na wenyeviti wengi wa Mikoa na Wilaya walioonyesha hisia za kutokubaliana na uongozi wa mwenyekiti.

Mwaka huu pia tumeanza ona yale yaliyokuwepo huko nyuma, na ifikapo 2019 zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya na wasaidizi wake wanaweza kuwa wamefukuzwa uanachama na kuweka viongozi wa muda watakao mchagua mwenyekiti.

Hii ina maana mwenyekiti wa chadema huwa anajiteua kwa mgongo wa wajumbe alio waweka yeye kumpigia kura.

Kilichotokea hapa Kyela, cha kumteua mzee wa CCM wa miaka 80 kuwa mwenyekiti ni hatua moja ya Mbowe kuendelea kushika nafasi yake mpaka afe madarakani au achoke kuongoza.
 
DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
365
250
Hiyo inakuwa kama Msuva, anajipigia mpira pasi, halafu anakimbilia mwenyewe kwenda kufunga.

Ndiyo maana napata tabu sana CHADEMA wanapo lalamika kuhusu kutokuwa na demokrasi kwa vyama vingine, wakati wamesahau kwamba ukitaka kutafuta nyoka anzia mguu kwako ndiyo uende kwa jirani.

Ukweli demokrasia hakuna kabisa CHADEMA zaidi ya kutimiza na kutekeleza MAAZIMIO ya wachache.
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,298
2,000
Kuna sura ya wazi ndani ya chama chetu cha CHADEMA inapokuja kushughulikia mambo ya ndani ya chama. Kimekuwa kinaendesha mambo kwa mikimiki sana na hata kuonyesha sura halisi ya chama kama ndo kingekuwa chama dola.

Miaka mingi nimekuwa nafuatilia uchaguzi wa chama unapokaribia huwa unambatana na kufukuzana kwa sana na kuwekena katika nafasi za maamuzi. Hili limekuwa likitafsiriwa kama kuweka wasiopinga fikra za mwenyekiti wetu, Mr. Mbowe.

Mwaka 2014/5 hali hii ilijionyesha zaidi kwa kumfukuza ZZK ndani ya chama pamoja na wenyeviti wengi wa Mikoa na Wilaya walioonyesha hisia za kutokubaliana na uongozi wa mwenyekiti.

Mwaka huu pia tumeanza ona yale yaliyokuwepo huko nyuma, na ifikapo 2019 zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya na wasaidizi wake wanaweza kuwa wamefukuzwa uanachama na kuweka viongozi wa muda watakao mchagua mwenyekiti.

Hii ina maana mwenyekiti wa chadema huwa anajiteua kwa mgongo wa wajumbe alio waweka yeye kumpigia kura.

Kilichotokea hapa Kyela, cha kumteua mzee wa CCM wa miaka 80 kuwa mwenyekiti ni hatua moja ya Mbowe kuendelea kushika nafasi yake mpaka afe madarakani au achoke kuongoza.
CHADEMA hawana tofauti na TFF
 
Aaaaaaa

Member
Dec 9, 2016
39
95
Kwa kweli democracy kwa vyama kinzani kwa Tanzania bado ni tatizo kubwa sana ukiangalia karibu vyama vyote vinasambaratika kutokana na uroho wa madalaka wa viongozi wao na cha ajabu vijana wanao penda mabadiliko ikifika hapo huwa wanaziba masikio na kufumba macho jambo ambalo watanzania walio wengi wanaliona hilo na ndio uaminifu wa vyama husika huwa mdogo mbele ya jamii husika
 
MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,774
2,000
Unajiita mwanaCDM kumbe liccm lisilo na haya!
Kuwa wewe achana na kufake.
Kuna sura ya wazi ndani ya chama chetu cha CHADEMA inapokuja kushughulikia mambo ya ndani ya chama. Kimekuwa kinaendesha mambo kwa mikimiki sana na hata kuonyesha sura halisi ya chama kama ndo kingekuwa chama dola.

Miaka mingi nimekuwa nafuatilia uchaguzi wa chama unapokaribia huwa unambatana na kufukuzana kwa sana na kuwekena katika nafasi za maamuzi. Hili limekuwa likitafsiriwa kama kuweka wasiopinga fikra za mwenyekiti wetu, Mr. Mbowe.

Mwaka 2014/5 hali hii ilijionyesha zaidi kwa kumfukuza ZZK ndani ya chama pamoja na wenyeviti wengi wa Mikoa na Wilaya walioonyesha hisia za kutokubaliana na uongozi wa mwenyekiti.

Mwaka huu pia tumeanza ona yale yaliyokuwepo huko nyuma, na ifikapo 2019 zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya na wasaidizi wake wanaweza kuwa wamefukuzwa uanachama na kuweka viongozi wa muda watakao mchagua mwenyekiti.

Hii ina maana mwenyekiti wa chadema huwa anajiteua kwa mgongo wa wajumbe alio waweka yeye kumpigia kura.

Kilichotokea hapa Kyela, cha kumteua mzee wa CCM wa miaka 80 kuwa mwenyekiti ni hatua moja ya Mbowe kuendelea kushika nafasi yake mpaka afe madarakani au achoke kuongoza.
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,805
2,000
Mkapa kaondoka anamuacha mbowe
Kikwete kaingia na kuondoka akimuacha mbowe
Magufuli atamuacha mbowe

Yaani mtoto ana zaliwa mpaka anapata mtoto na yeye mbowe bado mwenyekiti!!!
Kisha wanasimama Zidumu Ndoto za mbowe
Wanasema tunataka Demokrasia Tanzania!!!

Narudia Tuikatae Ccm nani mbadala?!!
Huwezi ruka mkojo na kukanyaga kinyesi kamwe.
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,430
2,000
Kwa kweli democracy kwa vyama kinzani kwa Tanzania bado ni tatizo kubwa sana ukiangalia karibu vyama vyote vinasambaratika kutokana na uroho wa madalaka wa viongozi wao na cha ajabu vijana wanao penda mabadiliko ikifika hapo huwa wanaziba masikio na kufumba macho jambo ambalo watanzania walio wengi wanaliona hilo na ndio uaminifu wa vyama husika huwa mdogo mbele ya jamii husika
Nchi yenyewe inaongozwa na Dikteta anayetokea kwenye chama cha kiimla...mfano tuliyoyafanya kule Zanzibar kupora ushindi wa CUF
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,086
2,000
Mbowe yeye anawaza kusimika watu wake kila kanda,Ole sosopi kafyekwa kichwa kumbe ni mtu wa Laigwani,
Kwa hiyo kuna mashindano kuweka vibaraka kati ya laigwani na Mbowe ili uchaguzi ukifika kila mtu awe na kundi lenye nguvu na chama kipasukie mbali
 
Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Shida hajui kama El ana nguvu ya ushawishi ya fedha na ameonekana anakauli kwa taifa zaidi yake. Mwisho atakalishwa chini tu na EL kama mwakajana alivyofanyiwa.
Mbowe yeye anawaza kusimika watu wake kila kanda,Ole sosopi kafyekwa kichwa kumbe ni mtu wa Laigwani,
Kwa hiyo kuna mashindano kuweka vibaraka kati ya laigwani na Mbowe ili uchaguzi ukifika kila mtu awe na kundi lenye nguvu na chama kipasukie mbali
 
shiiiii

Senior Member
Nov 26, 2016
124
225
Ni rahisi kuona kichogo cha mwenzako kumbe una chogo baya zaidi, demokrasia inakuwa Pana pale inaposimamiwa na kila mtu
 
mwajg

Member
Nov 25, 2016
90
125
Mbowe hana tofauti Na Iddy Amini Dada wa UG yeye ni Mkiti wa maisha wa Chadema naomba tulijue hillo tutoke usingizini !!!!! Ndio maana Mnyika Na Halima wameamua kukaa kimya
 
Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Iko wazi na nimeandika siku chache zilizopita juu ya matukio yanayoweza tokea CHADEMA kati ya sasa mpaka 2019.

"Wengine wanasema Mbowe amekuwa strika wa kujipasia mipira na kufunga mwenyewe". Wengine wanasema viongozi wa CHADEMA wanateuliwa kiana na si kuchaguliwa kwa vile uchaguzi halali haujawai fanyika chini ya kamanda Mbowe.

Yote sawa, ila Mbowe anabeba majukumu yasiyo muhusu. Amekuwa mwenyekiti wa chama na mwenyekiti wa uchaguzi wa chama katika ngazi ya Taifa hadi kata.

Tunaomba apunguziwe majukumu na ajenge vijana waende kusimamia chaguzi za chini.

Anachofanya Mbowe ni kwenda kuweka vibaraka wake mikoani na si kujenga chama.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom