Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Heading ipo vizuri haijapinda.

Naona sasa kila kamanda ni kushangilia juu ya mabadiliko yaliyotokea ndani ya Ccm...
Makamanda kwa sasa wanamshambulia Lazaro Nyalandu kwa uamuzi wake wa kurudi CCM akitumia mistari ya mtunga zaburi mbele ya Madame President Samia.

Siasa za kiafrika hata siku moja ukikubali kuwa wakala wa mwanasiasa basi jiandae kuchekesha watu siku moja.
 
Kuwaelewa chadema ni ngumu sana,maana hawajui kipi wasimamie

Ni kweli, ni kama ccm kabisa, wakati wa JK umeme wa gas ni suluhisho la nishati nchini kwakuwa umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Baada ya shetani kuwa rais ccm wanasema umeme wa maji ni mpango mzima maana wa bei rahisi. Wale wale waliokuwa wanasema umeme wa gas ni sahihi, ndio hao hao waliorukaruka waliposikia umeme wa maji.
 
Sema kikundi cha Chadema kimejaliwa propaganda tu..!! Hapa wanakushambulia tu lakini kuhoji mabadiliko kwao haiwezekanai ata.
 
Nani umeona anashangilia hilo chama lenu la kigaidi? Sisi tunachofanya ni kuchochea kuni ili muunguzane vizuri. Chadema hakuna popoma kama wewe,wewe utabakia kuwa mataga tu.
Ccm linapokuja suala la kuwanyonga chadema huwa hawaangalii tofauti zao.
 
Heading ipo vizuri haijapinda.

Naona sasa kila kamanda ni kushangilia juu ya mabadiliko yaliyotokea ndani ya Ccm..
Ukamanda kwisha kabisa, wamekuwa mifugo wa mwenye chama hao. Wamezidiwa akili hata na wale 19,ambao waliona uzoba sio mali yao wakajiongeza mpaka nchi ya unono na kumwachia faru John mapovu tu.
 
Back
Top Bottom