Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa mwaka huu ni matumizi mabaya ya pesa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
Zaidi ya bilioni 382 zitatumika kwa ajili ya uchaguzi, bado vyama kama CCM vinazidi kutumia pesa nyingi tu kwa ajili ya kampeni,wapinzani wapo hoi hawana hela za kampeni.

Hizi pesa zingetumika kuwapa mikopo vijana waliosoma wakakosa ajira na kwenda kufanya biashara na kilimo ingekuwa faida kubwa sana

Maana JPM anashinda. Bora pesa kama bil 60 ingetumika kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge alafu zinazobaki tukakopeshwa vijana.
IMG_20200920_102518.jpg
 
Sasa Kama wameng'ang'ania Eti Demokrasia
na Vibendera wana mjaza Upepo Kwamba Watamshinda Magufuli
Waache wajifurahishe ila mie naimani Tar 28
Watakiona
 
Sasa Kama wameng'ang'ania Eti Demokrasia
na Vibendera wana mjaza Upepo Kwamba Watamshinda Magufuli
Waache wajifurahishe ila mie naimani Tar 28
Watakiona
Ila kuna watu walishauri vizuri,JPM apite bila kupingwa ili kuokoa gharama,wapinzani wakawa wabishi. Na huu ndio upinzani usiofaa.
 
Hakuna raisi ambaye hajawi kujenga nchi nzima, acheni ushabiki wa kindezi
Inshort hamna point muhimu wa mtu yoyote kumchagua lissu au kumuacha Magu, point ya wapinzan ni kuminya democrasia, maoni yangu ni hajaminya bali kawaminya wasidanganye, waongee vitu vya facts na si uongouongo, na kampain imepewa nguvu, mbna marekani wanafanya hivyo
 
Ila kuna watu walishauri vizuri,JPM apite bila kupingwa ili kuokoa gharama,wapinzani wakawa wabishi. Na huu ndio upinzani usiofaa.
Na wewe nenda kamshauri Magufuli ajitoe ili Lissu apite bila kupingwa ili tuokoe gharama! Hizi akili za kijinga ndizo hurudisha nyuma nchi!
 
Back
Top Bottom