Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,165
- 4,581
Zaidi ya bilioni 382 zitatumika kwa ajili ya uchaguzi, bado vyama kama CCM vinazidi kutumia pesa nyingi tu kwa ajili ya kampeni,wapinzani wapo hoi hawana hela za kampeni.
Hizi pesa zingetumika kuwapa mikopo vijana waliosoma wakakosa ajira na kwenda kufanya biashara na kilimo ingekuwa faida kubwa sana
Maana JPM anashinda. Bora pesa kama bil 60 ingetumika kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge alafu zinazobaki tukakopeshwa vijana.