Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

Hili la kususia vikao CCM leo imekua ni zamu yao ukiwauliza watakuambia ni sehemu ya demokrasia ila UKAWA wakisusia wataambiwa ni utoto.
kwa Umeya Ukawa ni size yao, sio Urais,Urais utawapwelepweta.Mtoto yake Nepi na wala sio Suti.
 
Watakimbia sana mwaka huu ukiona Dar imeondoka kwa mkoloni CCM basi ujue nchi karibu itaondoka mikononi mwaka Mkoloni mweupe.Harakati za kudai uhuru ziposhika kasi Dar Mkoloni mweupe alikabidhi nchi bila kupenda.
Eti mkoloni! kwa akili zako hao akina Rostam na Lowasa wake ndio unaona wazalendo?
 
Sorry wadau sheria inasemaje kama wakitoka updande wa pili,je uchaguzi utaendelea au Jecha wao anaweza akafanya yake?
 
NYIE SHANGILIENI TU, MMESHASAHAU KILICHOTOKEA ZANZIBAR? KUSHANGILIA LABDA BAADA YA MWEZI HIVI, NDIO KUTAKUA NA UHAKIKA, MATOKEO YANAWEZA KUFUTWA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA
 
Zanzibar pia ccm walikua na option hiyo wakaona bora wamshinikize mzee jecha afute uchaguzi
 
Ajabu na kwl CCM wamepata kura 0 uchaguz wa meya na naibu meya Ilala.. hii ni aibu kwa chama kikongwe.kukimbia uchaguzi na kupata sifuri aka yai
Kura 0 za sisiemu, ulitaka ukawa wawapigie kura sisiemu? Hizo ni kura za ukawa. Sasa unaposema ni aibu kupata kura 0 sijui ulitegemea nini!
TUKUTANE 2020, uchaguzi wa rais, au sio?
 
PM nae kaanza kuwa hewa huyu!!, kwa nini azuie mikutano ya wapinzani?!
 
Mimi nasema tunamhitaji magufuli na wabunge 60% upinzani, nchi itanyooka
 
Hawa jamaa hawawezi fair game!!!.....ndio maana wanatakaga figisufigisu....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom