ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,622
- 791
Hongera UKAWA, machungu yanapungua taratiiiibuuuu....
Wamezoe vya kunyonga vya kuchinja hawaviweziKumbe ccm wanatabia ka za watoto wa kike!!:lol: :lol:
kwa Umeya Ukawa ni size yao, sio Urais,Urais utawapwelepweta.Mtoto yake Nepi na wala sio Suti.Hili la kususia vikao CCM leo imekua ni zamu yao ukiwauliza watakuambia ni sehemu ya demokrasia ila UKAWA wakisusia wataambiwa ni utoto.

Eti mkoloni! kwa akili zako hao akina Rostam na Lowasa wake ndio unaona wazalendo?Watakimbia sana mwaka huu ukiona Dar imeondoka kwa mkoloni CCM basi ujue nchi karibu itaondoka mikononi mwaka Mkoloni mweupe.Harakati za kudai uhuru ziposhika kasi Dar Mkoloni mweupe alikabidhi nchi bila kupenda.
Eti mkoloni! kwa akili zako hao akina Rostam na Lowasa wake ndio unaona wazalendo?
Kwani dodoma nako ni kijiji na mwanza je?Kama ni kweli..ccm wamebaki vijijini rasmi..
Kura 0 za sisiemu, ulitaka ukawa wawapigie kura sisiemu? Hizo ni kura za ukawa. Sasa unaposema ni aibu kupata kura 0 sijui ulitegemea nini!Ajabu na kwl CCM wamepata kura 0 uchaguz wa meya na naibu meya Ilala.. hii ni aibu kwa chama kikongwe.kukimbia uchaguzi na kupata sifuri aka yai
Abstention....technical withdrawal....!