Uchaguzi wa mbunge Ludewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa mbunge Ludewa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by lipa, Sep 14, 2010.

 1. l

  lipa New Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwenyeji wa wilaya ya Ludewa, mkoa mpya wa Njombe., lakini siishi huko. Wana Ludewa wenzangu, nimepata habari kuwa, mgombea ubunge aliyepita sasa aligawa kadi nyingi kwa wanafunzi wa shule za Manda, lakini mbunge anayemaliza muda wake alishinda sehemu zingine zote. Ushindi wa huyu mgombea mpya umetokana na hao wanafunzi. Kama ndiyo kweli alifanya hivi, kama atapita katika uchaguzi wa Oktoba, je tunajivunia tunaye mbunge? mimi nasema HAPANA.
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Karibu jukwaani......................
   
Loading...