Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa madiwani Kagera; tufuteni machozi ya kutukanwa!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KYALOSANGI, Jan 10, 2017.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,765
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Natambua kuna uchaguzi mdogo madiwani, huko Muleba!Ombi langu naomba Ndugu zetu wajibu zile kejeli na dharau, za watu wa ngono, katerero, na masimango mengine kupitia sanduku la kura!
   
 2. iparamasa

  iparamasa JF-Expert Member

  #21
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 10,976
  Likes Received: 9,075
  Trophy Points: 280
  Kagera fanyeni yenu mlinde heshima......dharau zilifutwa mwaka 1961


  Ni wakati haswa wa kuonyesha mnabeba msalaba wenu kwa kuwa mliowaamini watawasaidia kubeba msalaba,wamejitoa na kuwasengenya hadharani
   
 3. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #22
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,215
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  tatizo nyie wahaya wanafiki sana!! ngoja tu muendelee kuisoma namba
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #23
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 7,625
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280
  Misukule katika ubora wao
   
 5. Jmujun

  Jmujun JF-Expert Member

  #24
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 12, 2015
  Messages: 541
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Hivi ni kwanni wananchi wqnajishughulisha na siasa ili hali wao si wana siasa
   
 6. Z

  Zamazangu JF-Expert Member

  #25
  Jan 21, 2017 at 2:16 PM
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 205
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ccmm wakishinda kwa kishindo kagera na kejeli zile notajua kagera nao mazombie
   
 7. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #26
  Jan 21, 2017 at 8:24 PM
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 12,897
  Likes Received: 4,823
  Trophy Points: 280
  Subiri tunaona mkuu...wabongo ni watu wa ajabu wewe subiri
   
Loading...