Uchaguzi wa madiwani Kagera; tufuteni machozi ya kutukanwa!

Natambua kuna uchaguzimdogo madiwani, huko Muleba!Ombi langu naomba Ndugu zetu wajibu zile kejeli na dharau,za watu wa ngono,katerero,na masimango mengine kupitia sanduku la kura!

Thubutuuuu..watanzania huwajui wewe...subiri surprise ya karne...CCM inashinda kwa kishindo
 
Natambua kuna uchaguzimdogo madiwani, huko Muleba!Ombi langu naomba Ndugu zetu wajibu zile kejeli na dharau,za watu wa ngono,katerero,na masimango mengine kupitia sanduku la kura!
Uchaguzi lini?ehhee mungu naomba uzima.
 
Huko kagera CCM inashinda bila shida.

Mwenzanu aliyekuwa anamtusi sana Lowassa na kuisadia sana CCM uchaguzi mkuu 2015 kazikwa kwao Kasulu juzi kwa jeneza la wasamaria wema baada ya kuchangia laki 5!
CCM inawapenda nyie mkiwa mnawasaidia tu!Ni aibu kwa kada mkubwa wa CCM kama Kalihiso mazishi yake yagubikwe na ukata mkubwa!
Mwenye masiikio na asikie
 
Kwa tetemeko hili kagera sijui kama itarudiga ccm wanavyochukia ccm na serikali yao uwezi amini
 
Natambua kuna uchaguzi mdogo madiwani, huko Muleba!Ombi langu naomba Ndugu zetu wajibu zile kejeli na dharau, za watu wa ngono, katerero, na masimango mengine kupitia sanduku la kura!
dfee72ab981a51aad50a2a99b6efc499.jpg


Kwa ujinga huu sijui.....
 
Back
Top Bottom