Uchaguzi wa Kinondoni ni vita kati ya CHADEMA na CUF huku CCM wakishinda kwa kishindo

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Ccm ni wajanja sana yaani wamegawa wapinzani katika makundi mawili .

Kundi la kwanza ni CUF WANAMUUNGA MKONO LIPUMBA.

kundi la pili ni CHADEMA wanajiita UKAWA.

Wafuasi wengi wa CUF wanaiponda sana chadema wanadai chadema ametumwa na ccm kuja kuvuruga ushindi wa cuf kinondoni.

Wafuasi wa chadema wao wanaiponda CUF wanadai ni cuf inayougwa mkono lipumba ni haramu.

Wakati chadema na cuf wakitupiana vijembe mitandaoni na katika uwanja wa siasa wakiwa kama wapinzani.

CCM CHINI YA MTULIA WANAWACHEKA KWA SABABU WANAJUA KILE KILICHOTOKEA JIMBO LA SEGEREA 2015 NDICHO KITAKACHOTOKEA JIMBO LA KINONDONI MWAKA HUU.

INGEKUWA JIMBO LA KINONDONI NI CHAMA KIMOJA CHA UPINZANI CCM WANGEPATA SHIDA ILA HUKU CHADEMA HUKU CUF HEBU FIKILIA CUF INA MGOMBEA NA CHADEMA INA MGOMBEA UNAFIKILI UPINZANI UTAPATA

mbaya zaidi wao kama wapinzani badala ya kuwa kitu kimoja wamegawanyika kazi yao ni kutupiana vijembeeee.

TUNAOSEMA CHADEMA INAPAMBANA NA CCM tunajidanganya ila chadema inapamba na CUF LIPUMBA.
NA CUF LIPUMBA inapambana na CHADEMA lakini sio CCM .

nawakilisha hoja ivi wapinzani kwa mwendo huu tutafika
 
Kwani lipumba anawafuasi cdm haiwezi kupambana na kibaraka proph mjinga kama lupumba huyu ni mvurugaji mbona aliachiwa uchaguzi wa majimbo yalio pita alipata nini
 
Ushaambiwa maalim seif, Ismail jussa,Juma haji Duni , wata mnadi mgombea wa chadema sasa iyo CUF inatoka wapi?
Mkuu ngoja nikupe kumbukumbu vizuli ili unielewa ninachokizungumzaaaaaa.

Uchaguzi wa jimbo la segerea LOWASSA NA CHADEMA walimnadi mtatiro kupitia cuf chini ya UKAWA na anatropia akimnadi mtatiro lakini still chadema alipata kura karibia elfu 40,000 ambazo ungemuongezea mtatiro angeshinda.

Uchaguzi wa jimbo la mtama cuf na chadema hawakuelewana nape akashinda kwa kura chache kwa sababu ya waligawana kura.

Uchaguzi jimbo la ILALA maalim seif,juma duni walimnagi mgombea wa chadema lakini cuf alikuwa na mgombea alipata kura nyingi ambazo ukimukea wa chadema angeshinda.

Na kipindi kile ilikuwa ukawa kweli kweli lakini kinachoshindikana kinondoni ni nini
 
Kwani lipumba anawafuasi cdm haiwezi kupambana na kibaraka proph mjinga kama lupumba huyu ni mvurugaji mbona aliachiwa uchaguzi wa majimbo yalio pita alipata nini
LIPUMBA SAWA HANA WAFUASI WA CHADEMA NA UPANDE WA PILI UNAAMINI MBOWE ANA WAFUASI NDANI YA CUF.

KUMBUKA YA KWAMBA CUF YA LIPUMBA NA CHADEMA YA MBOWE WOTE NI WAFUASI WA UPINZANI LAKINI HAMUELEWANI

UNADHANI ANAYEUMIA HAPA NI NANI
 
Back
Top Bottom