Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Ccm ni wajanja sana yaani wamegawa wapinzani katika makundi mawili .
Kundi la kwanza ni CUF WANAMUUNGA MKONO LIPUMBA.
kundi la pili ni CHADEMA wanajiita UKAWA.
Wafuasi wengi wa CUF wanaiponda sana chadema wanadai chadema ametumwa na ccm kuja kuvuruga ushindi wa cuf kinondoni.
Wafuasi wa chadema wao wanaiponda CUF wanadai ni cuf inayougwa mkono lipumba ni haramu.
Wakati chadema na cuf wakitupiana vijembe mitandaoni na katika uwanja wa siasa wakiwa kama wapinzani.
CCM CHINI YA MTULIA WANAWACHEKA KWA SABABU WANAJUA KILE KILICHOTOKEA JIMBO LA SEGEREA 2015 NDICHO KITAKACHOTOKEA JIMBO LA KINONDONI MWAKA HUU.
INGEKUWA JIMBO LA KINONDONI NI CHAMA KIMOJA CHA UPINZANI CCM WANGEPATA SHIDA ILA HUKU CHADEMA HUKU CUF HEBU FIKILIA CUF INA MGOMBEA NA CHADEMA INA MGOMBEA UNAFIKILI UPINZANI UTAPATA
mbaya zaidi wao kama wapinzani badala ya kuwa kitu kimoja wamegawanyika kazi yao ni kutupiana vijembeeee.
TUNAOSEMA CHADEMA INAPAMBANA NA CCM tunajidanganya ila chadema inapamba na CUF LIPUMBA.
NA CUF LIPUMBA inapambana na CHADEMA lakini sio CCM .
nawakilisha hoja ivi wapinzani kwa mwendo huu tutafika