Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,888
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya imeahirisha kutangaza matokeo hadi madai ya wizi wa kura yachunguzwe.Hii ni Tume huru ambayo haina uoga na mtu na iko kwa ajili ya Wakenya . Swali ni kwamba je nani anaongoza Nchi ? KIbaki anajulikana bado ni Rais lakini Katiba ya Kenya inasema Rais lazima awe Mbunge na Bunge la Kenya lilivunjwa kutoa nafasi ya Uchaguzi. Je ni jesho liko in control ?
Naomba kusikia toka kwenu hapa tunaichambua Katiba na Hatima ya Kenya .
Naomba kusikia toka kwenu hapa tunaichambua Katiba na Hatima ya Kenya .