Uchaguzi wa Kenya ni somo kwetu, labda tuwe wavivu wa kulisoma somo lenyewe

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,837
Uhuru Kenyatta akiwa mamlakani 2013-2017 alikosolewa sana,Alithihakiwa sana.Wengine wakamtukana matusi ya nguoni.

Alicheka na kupuuza"Akili yake ilijikita kuijenga kenya kwenda uchumi wa kati.Na amefanikiwa sana.

Leo ametangazwa mshindi wa urais,Hajaapishwa bado.Wapinzani wake wanaandamana kupinga matokeo hayo.Kawaambia,andamaneni ila msivunje sheria.Msiharibu mali za watu.Onyesheni hisia zenu.Kenya ni yetu sote.

Nimetafakariiiii...Nimevuta pichaa....Nikajiuliza.Vipi ingekuwa ni hapa tanzania?

Busara hzi na ukomavu huu wa kiuongozi baba angeuweza?

Nadhani kupitia utawala wa Uhuru kenyatta.Yapo mengi Tanzania tujifunze kama si nchi zote za africa mashariki.

We jiulize.Mshindi katangazwa Uhuru,Hata hajala kiapo_Odinga anaitisha mkutano wa hadhara na kuhutubia kupinga matokeo.Na Uhuru amevumilia bila kumpima mkojo au kumweka mahabusu.Baba angemvulia EL angeyafanya hayo?

Museveni angemvumia kwa Kizza?
Uchaguzi wa Kenya ni somo kwetu.Labda tuwe wavivu wa kulisoma somo lenyewe!
 
Uhuru Kenyatta akiwa mamlakani 2013-2017 alikosolewa sana,Alithihakiwa sana.Wengine wakamtukana matusi ya nguoni.Alicheka na kupuuza"Akili yake ilijikita kuijenga kenya kwenda uchumi wa kati.Na amefanikiwa sana.
Leo ametangazwa mshindi wa urais,Hajaapishwa bado.Wapinzani wake wanaandamana kupinga matokeo hayo.Kawaambia,andamaneni ila msivunje sheria.Msiharibu mali za watu.Onyesheni hisia zenu.Kenya ni yetu sote.
Nimetafakariiiii...Nimevuta pichaa....Nikajiuliza.Vipi ingekuwa ni hapa tanzania?
Busara hzi na ukomavu huu wa kiuongozi baba angeuweza?
Nadhani kupitia utawala wa Uhuru kenyatta.Yapo mengi Tanzania tujifunze kama si nchi zote za africa mashariki.
We jiulize.Mshindi katangazwa Uhuru,Hata hajala kiapo_Odinga anaitisha mkutano wa hadhara na kuhutubia kupinga matokeo.Na Uhuru amevumilia bila kumpima mkojo au kumweka mahabusu.Baba angemvulia EL?
Museveni angemvumia Kizza?
Uchaguzi wa Kenya ni somo kwetu.Labda tuwe wavivu wa kulisoma somo lenyewe!
Uhuru Kenyatta katoa bonge la somo lajinsi ya ku deal na wapinzani wako, si Kenya si Afrika Mashariki.

Afrika nzima.

Ukiangalia Uhuru anavyoishi kwa jina lake na kuwapa Uhuru Wakenya kumpinga utaelewa Magufuli anavyowafunga makufuli wapinzani wa Tanzania hata kuandaman shida.
 
Acha ujinga wewe, polisi Kenya wameishaua zaidi ya wananchi 20 kwa risasi za moto kutokana na vurugu za matokeo ya uchaguzi. Miongoni mwa wahanga wa vifo hivi ni watoto wadogo kabisa, unaweza endelea na propaganda zako sasa.
 
Red cross juzi wameripoti Polisi wameshauwa watu 24 kibaya zaidi wengine ni watoto wadogo.Uhuru anatumia indirect approach ku-deal na wapinzani wake while JPM anatumia direct approach wote lengo lao ni moja tofauti ni njia wanazotumia
 
Pamoja na mapungufu yao lakini wa Kenya wako mbele yetu kwa karibu kila kitu!! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Kama ni kuuawa hata hapa kwetu zaidi ya wafuasi wengi wa ukawa waliuawa wengine kwa kucharangwa mashoka na mapanga Tarime, Mbeya, Mwz, Morogoro etc labda kama tunajisahaulisha.

Cairo's
 
Uhuru Kenyatta akiwa mamlakani 2013-2017 alikosolewa sana,Alithihakiwa sana.Wengine wakamtukana matusi ya nguoni.

Alicheka na kupuuza"Akili yake ilijikita kuijenga kenya kwenda uchumi wa kati.Na amefanikiwa sana.

Leo ametangazwa mshindi wa urais,Hajaapishwa bado.Wapinzani wake wanaandamana kupinga matokeo hayo.Kawaambia,andamaneni ila msivunje sheria.Msiharibu mali za watu.Onyesheni hisia zenu.Kenya ni yetu sote.

Nimetafakariiiii...Nimevuta pichaa....Nikajiuliza.Vipi ingekuwa ni hapa tanzania?

Busara hzi na ukomavu huu wa kiuongozi baba angeuweza?

Nadhani kupitia utawala wa Uhuru kenyatta.Yapo mengi Tanzania tujifunze kama si nchi zote za africa mashariki.

We jiulize.Mshindi katangazwa Uhuru,Hata hajala kiapo_Odinga anaitisha mkutano wa hadhara na kuhutubia kupinga matokeo.Na Uhuru amevumilia bila kumpima mkojo au kumweka mahabusu.Baba angemvulia EL angeyafanya hayo?

Museveni angemvumia kwa Kizza?
Uchaguzi wa Kenya ni somo kwetu.Labda tuwe wavivu wa kulisoma somo lenyewe!

Ni somo kubwa sana kwa CHADEMA
 
Kwa ujumla Afrika mashariki Kenya iko juu sana kiuchumi na kidemokrasia. Huo ndio ukweli hata kama hataupendi.
 
Uhuru Kenyatta akiwa mamlakani 2013-2017 alikosolewa sana,Alithihakiwa sana.Wengine wakamtukana matusi ya nguoni.

Alicheka na kupuuza"Akili yake ilijikita kuijenga kenya kwenda uchumi wa kati.Na amefanikiwa sana.

Leo ametangazwa mshindi wa urais,Hajaapishwa bado.Wapinzani wake wanaandamana kupinga matokeo hayo.Kawaambia,andamaneni ila msivunje sheria.Msiharibu mali za watu.Onyesheni hisia zenu.Kenya ni yetu sote.

Nimetafakariiiii...Nimevuta pichaa....Nikajiuliza.Vipi ingekuwa ni hapa tanzania?

Busara hzi na ukomavu huu wa kiuongozi baba angeuweza?

Nadhani kupitia utawala wa Uhuru kenyatta.Yapo mengi Tanzania tujifunze kama si nchi zote za africa mashariki.

We jiulize.Mshindi katangazwa Uhuru,Hata hajala kiapo_Odinga anaitisha mkutano wa hadhara na kuhutubia kupinga matokeo.Na Uhuru amevumilia bila kumpima mkojo au kumweka mahabusu.Baba angemvulia EL angeyafanya hayo?

Museveni angemvumia kwa Kizza?
Uchaguzi wa Kenya ni somo kwetu.Labda tuwe wavivu wa kulisoma somo lenyewe!
si uhamie kenya kabisa ili ukafurahie demokrasia
 
1. Wana mgombea binafsi
2. Wana muda wa kupinga matokeo mahakamani
3. Wana katiba mpya
4. Ruksa kuunganisha makundi na kugombea pamoja.
Hakika huwezi kulinganisha na kwetu, tuko kinafiki zaidi.
 
Nazidi kuamini kuwa Luwassa alikuwa sahihi kumpigia debe Uhuru.
Tunahitaji kiongozi kama Uhuru Tanzania.
Demokrasia ni nzuri.
 
Back
Top Bottom