Uchaguzi wa Chama cha Wananafunzi wa Kiswahili, Tawi la UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Chama cha Wananafunzi wa Kiswahili, Tawi la UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mphamvu, May 28, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Unafanyika leo hapa campus ya Mlimani, wanachama walioitikia ni wachache(kulingana na idadi ya wanachama).
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  aaah,CHAKICHUKIDA,nafurai kuona kinaendelea kila la kheri,ni mwanachama mstaafu!tangazen kiswahili!
  Salam kwa Mama Limo na Lubanza
   
 3. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Tupeni matokeo ya uchaguzi.tatizo la chawakawa mlimani ni kuwa viongoz wanafanya kaz mwanzo wa semista 2 lakini kitabu kikikolea nao wanapumzka,kupumzka kwao kunafanya ht wanachama nao kupumzika.sacbu ya pili ni kua kuna mawasiliano hafifu kati ya viongoz na wanachama,na tatu ni kuwa chawakama mliman haina program inazoandaa za kuweza kukifanya chama kionekani kuwa hai mfany uandaaji wa matamasha ya ndani na nje ya chuo.ni hv majuz 2 ndo nmeckia tamasha la ucku wa kisw lakin kwa muda chama kilikua mfu.mimi nilikua kiongoz hapo{mhariri msaidizi}hayo nliyoyasema nlikumbana nayo na kujarbu kuyaondoa kwa kadri ya uwezo we2.miongoni mwa ma2nda ya nafas yng ni kujitahd kwa jitihada binafs kuandaa miswada miwili ya vitabu kutoka katika kaz za wanachama na kuupeleka TATAKI kwa ajili ya uchapishaji,lakin c dhan km viongoz waliopo wamefanya jitihada faafu ili kuhakikisha kuwa vitabu hvyo vimechapwa.na hakuna mrejesho juu ya wapi haswa wamefikia.km mtaendelea hvyo ipo cku chama kitatiwa kwenye jeneza.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280  Usemayo yana ukweli.. naona kina wallace wako kimyaah!
   
Loading...