Uchaguzi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam; Kate Kamba Aibuka Kidedea

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Leo hii Mama Kate Kamba amechaguliwa kwa kura nyingi (takribani 420) kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es alaam. Uchaguzi huo ulifanyika leo tarehe 2/12/2017 jijini DSM na matokeo yake kutangazwa na Mh Lukuvi.
Hongera sana CCM kwa kuendesha uchaguzi wa haki na wa kidemokrasia.
Karibuni.
 
Watu wanaulizia Mbowe ataachia ngazi lini CHADEMA. Lakini ukweli ni kwamba Mbowe ni wa jana tu. Huyu mama nilimsikia nikiwa mdogo shule ya msingi akiwa kwenye uongozi wa CCM na serikali ya wakati huo. Wakati ule kwenye mitihani ya siasa tukiulizwa maswali ya aina hii: 1) Waziri wa Elimu anaitwa ................ Na jina lake lilikuwa sehemu ya majibu ya maswali hayo. Ne watoto wake nimesoma nao sekondari. Leo nina miaka 40 na kitu. Kustaafu nakuona hapo mbele. Yeye ndiyo kwanza siku yake imeanza, siyo?
 
Back
Top Bottom