Uchaguzi wa CCM Arumeru Mashariki: Siyoi ashinda na kupitishwa kukiwakilisha chama

Sijui watamchaka chua tena....Je kulikuwa na umeme wakati wa kuhesabu kura naimanisha kulikuwa na mwanga wa kutosha...
 
Na bado utasema yote! Nilitaka kushangaa usimtaje Nape, nyie subiri muanze lawama zenu za kuibiwa kura nyie ndio mliyeimaliza NCCR Mageuzi kwa kuongwa na sasa mmeamia Chadema.

Nyie ndio wapiga debe wa Chadema??
Kwanini nisimtaje Nape wakati yeye ndiye king maker kwa ule upande mwingine, nasubiri kumwona atakavyo mpigia kampeni mkwe wa Lowassa.
 
Ningekuwa simwamini Yesu Kristo kuwa Mungu, ningemwamini EL !

kama unamwamini yesu kristo kuwa ni Mungu imekula kwako. YESU SI MUNGU NDIO MAANA ALISEMA HAKUNA ATAKAE KWENDA KUMUONA BABA BILA KUPITIA KWANGU.

Kwa maana hiyo unamuamini EL, Hiyo imekula kwako mazima.
 
Back
Top Bottom