Uchaguzi wa Bawacha moto mkali, fomu zaanza kuchukuliwa kwa kasi kubwa, wazito waanza kujitokeza kwa kishindo

Safari hii chujio liwe makini kuchungulia walioletwa na CCM na kuwajua ni kuangalia nani anamwaga mipesa hovyo, pili historia ya nyuma nje ya chama na ndani ya chama izingatiwe kwa kila mgombea na mwisho elimu ya mgombea iwe angalau form four kwenda mbele pamoja na kuolewa iwe ni sifa mojawapo ili kuzuia new strains covid 19x
🙏 🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Una hoja nzuri , lakini tunatarajia watia nia zaidi ya elfu 2 , sasa kuweka wasifu wa kila mtu si rahisi
Kwa uongo hujambo eti 2000 Chadema hii ya sasa isiyo na mvuto kabisa!!!!

Taarifa tunazo mifomu imewadodea hakuna wachukuaji
 
Back
Top Bottom