Uchaguzi wa 2020 wapinzani watakua na kazi kubwa sana. | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa 2020 wapinzani watakua na kazi kubwa sana.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bryan2, Jun 19, 2017.

 1. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Kwa spidi anayoendanayo Raisi wetu uchaguzi wa mwaka 2020 wapinzani watakua na kazi kubwa sana anzia kwa wabunge wao kutetea majimbo yao mpaka kwa Uraisi.

  Watanzani wengi tumeanza kumwelewa Raisi wetu kule anataka kutupeleka

  Sitashangaa Wapinzani Wakigoma kumsimamisha mpinzani kwenye Nafasi ya Urais na Kumwunga mkono Rais Magufuli.
   
 2. c

  chikundi JF-Expert Member

  #21
  Jun 20, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,248
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Bashite ni nani?
   
 3. c

  chikundi JF-Expert Member

  #22
  Jun 20, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,248
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati tokea tupate Uhuru mambo yalienda vizuri kwa 100%?
   
 4. m

  mchome haki Senior Member

  #23
  Jun 20, 2017
  Joined: Jun 18, 2017
  Messages: 132
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hawana kazi. Hawajitambui. Katiba Mpya. Tume huru nizaidi ya uchaguzi
   
 5. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #24
  Oct 9, 2017
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,792
  Likes Received: 2,450
  Trophy Points: 280
  Ukiachilia mbali kushindwa kwenye urais, kama upinzani utaendelea hivi hivi na usiamue kubadilika, 2020 watapoteza wabunge karibu wote.

  Kwa kuwa bado hawaelewi kuwa wao hawawezi kupendwa eti kwa kuwa tu wanaipinga na kuikosoa serikali Bali kwa kujifanyia self improvement wenyewe; wao wamewekeza kwenye kuichafua serikali halafu wao hakuna wanachofanya cha maana. Unatakiwa muelewe kuwa pamoja na kuwa walioko madarakani wanaweza kuwa wanakosea hapa na pale, lakini bado wanaonekana wana uwezo mkubwa sana kuwazidi. Kwa hiyo mlicho takiwa kufanya nini kujitahidi kujifanyia internal improvement ili muwe na comparative advantage, ila tumesema hadi tumechoka.

  Hivi ni kwa vipi unaweza kuwa unatafuta mchumba, halafu huyo mchumba anayemchumbia tayari ana MTU mwingine, halafu badala ya kumuonesha ni kwa vipi wewe ni bora kuliko aliye naye, wewe kila siku unaenda kumuambia tu "ujue mchumba wako hafai, ni mbaya, n.k" eti unatarajia umpate wewe kwa hilo tu, kweli?

  Niulize swali dogo, hivi kwa nini chadema kwa mfano hamjengi ofisi ya makao makuu? ACT wanaweza kujitetea hawana hela, na ninyi mna shida gani maana hili mmekuwa mkiambiwa kila Mara? kama mnashindwa kujenga ofisi tu, sasa ninyi ni viongozi wa namna gani?

  Hebu fikirini kidogo hapo!
   
 6. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #25
  Oct 9, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,089
  Likes Received: 13,529
  Trophy Points: 280
  Sisi watanzania hatutaki Ofisi tunataka Ikulu tuikomboe nchi.
   
 7. MZEE MSASAMBEGU

  MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member

  #26
  Oct 9, 2017
  Joined: Apr 19, 2013
  Messages: 2,735
  Likes Received: 2,370
  Trophy Points: 280
  Labda muwapoteze kwa njia mliyotaka kumpoteza tundu lissu
   
 8. O

  Orenda okongo New Member

  #27
  Oct 10, 2017
  Joined: Oct 10, 2017
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hapa hakuna siasa bali kuna muungano wa vyama wanaotaka madaraka cvinginevyo ndio maana kuna upingaji nakejeli dharau kwa chama iliyopo madarakani chama iliyopo ukiangalia wao wanaangalia namna gani wanaweza kuugeza Tanzania iweze kujitegemea kiuchumi sasa hapa lazima vyama hivi vya mlengo wa madaraka lazima wafanye siasa kama wanayofanya kujaribu kupandikiza chuki kwa jamii ambapo hawajui kwamba siasa kama hiyo hats wao inawagharimu kwa kiasi kikubwa wametoka kwenye hoja sasa ni chuki hata ambae ana waunga mkono akitoa hoja anawalenga kwa mlengo wa matusi,kejeli,kupinga maendeleo take mwenyewe wangine wanaamini hatuna raisi imewafanya hata Sera zao za msingi wamepoteza mambo mengi sana ukitulia bila kukurupuka Fanya tafiti kwanza
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...