Uchaguzi wa 2020 wapinzani watakua na kazi kubwa sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa 2020 wapinzani watakua na kazi kubwa sana.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bryan2, Jun 19, 2017.

 1. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Kwa spidi anayoendanayo Raisi wetu uchaguzi wa mwaka 2020 wapinzani watakua na kazi kubwa sana anzia kwa wabunge wao kutetea majimbo yao mpaka kwa Uraisi.

  Watanzani wengi tumeanza kumwelewa Raisi wetu kule anataka kutupeleka

  Sitashangaa Wapinzani Wakigoma kumsimamisha mpinzani kwenye Nafasi ya Urais na Kumwunga mkono Rais Magufuli.
   
 2. troublemaker

  troublemaker JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2015
  Messages: 3,447
  Likes Received: 3,202
  Trophy Points: 280
  Sawa.
   
 3. B

  Babati JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Marekani kuna maendeleo ya kufa mtu lakini upinzani una nguvu, sembuse haya maigizo yenu.
   
 4. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  kwanini Tena boss ndo maana nimesema watanzania wengi tumeanza kumwelewa na sio wote ila naimani ipo siku wote tutakuja kumshangalia

  Hata nyumbani wazazi wanaweza wasipendwe na watoto wote
   
 5. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  kwanini Tena boss ndo maana nimesema watanzania wengi tumeanza kumwelewa na sio wote ila naimani ipo siku wote tutakuja kumshangalia

  Hata nyumbani wazazi wanaweza wasipendwe na watoto wote
   
 6. B

  Babati JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Haya maendeleo ya maigizo, basi Marekani kusingekuwa na upinzani.
   
 7. agata edward

  agata edward JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2017
  Joined: Nov 25, 2014
  Messages: 3,181
  Likes Received: 3,745
  Trophy Points: 280
  Keli kabisa
   
 8. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2017
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 87,241
  Likes Received: 92,929
  Trophy Points: 280
  IMG-20170619-WA0062.jpg
   
 9. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Nini maana ya upinzani?Upinzani sio kupinga kila jambo mtu akifanya vizuri apewe hongera zake.

  Zito kabwe Act wazalendo Naipongeza serikali kwa hatua walizochukua dhidi ya Escrow

  Edward Lowassa Chadema naipongeza serikali dhidi ya sakata la Makinikia.
   
 10. B

  Babati JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Endelea kupongeza.
   
 11. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Twende pamoja na Raisi wetu mpaka 2020 halafu naona kama miaka inaenda kweli.
   
 12. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Kupiga Miayo ni Afya kwani hufanya mishipa ya damu kwenye ubongo kufunguka zaidi na kusapply enough O2 to the brain.

  Sio Kila miayo ni njaa kiongozi
   
 13. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Mambo mazuri hayataki haraka ipo siku nawe utapongeza tuu
   
 14. Brightfame

  Brightfame JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2017
  Joined: Sep 14, 2016
  Messages: 1,123
  Likes Received: 1,081
  Trophy Points: 280
  Bado pongezi za Kingunge
   
 15. Moi Dinya

  Moi Dinya JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2017
  Joined: May 29, 2014
  Messages: 1,300
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi wa 2020 ni wa wabunge Na madiwani... Raisi kashapita bila kupingwa na wengine tunataka katiba imruhusu agombee Tena na Tena
   
 16. m

  mangatara JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2017
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 10,503
  Likes Received: 6,152
  Trophy Points: 280
  Bado mapema mkuu usinunue mbeleko na mwana hajazaliwa
   
 17. b

  blasted masawe JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2017
  Joined: Dec 22, 2016
  Messages: 274
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 60
  Kwa lipi au unazifuraia hizi sarakasi za kisiasa alete vyeti vya bashite aliyewatukana waalimu juzi kwanza.
   
 18. B

  Babati JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Sikatai kama kuna kitu kipya siyo kuwa kama zuzu.
   
 19. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2017
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 87,241
  Likes Received: 92,929
  Trophy Points: 280
  Huu mwayo ni UPI mmojawapo
   
 20. CHA The GREAT

  CHA The GREAT JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2017
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 515
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nitakuwa na maoni kama yako ila kinyume chake. Tatizo wengine mnamuona Rais kama yeye, wakati si yeye. Kama haujui, hayo anayofanya ni utekelezaji wa ilani ya chama chake. Binafsi, bado sijamkubali, kwa sababu kuna mambo yanakwenda ndivyo sivyo.
   
Loading...