Uchaguzi UVCCM TEMEKE vurugu tupu imechochewa na Chadema

Magamba wamekwisha! Chaguzi zao wenyewe kwa wenyewe wanataka kutoana nafsi, je wakikutana na Dume la Mbegu, CDM si watatapika kupitia masaburi!
 
Taarifa hizi si za kweli! Uchaguzi uliisha salama na leo kuna uchaguzi mwingine wa Jumuiya ya Wazazi nao ni wa amani kabisa.
inaonekana unaishi afghanstan maana huelewi linaloendelea hapa nchini hukusikia uchaguzi umevurugika baada ya kiongozi wa zamani alipokuwa akiwapangia wajumbe mgombea anayemtaka,wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawatasikia mpaka pale hatari itakapowafikia ndipo watakaposema laiti wangejua.
 
Labda hapo kwenye cc watakuja na majibu ya kukera tu !

Mkuu Mani;
Lete swali utajibiwa tu tene kwa ufasaha si lazima ukubaliane na jibu lakini utajiwa data utapewa, sababu za msingi utapewa hii siasa si lazima tukubaliane; nakusubiri

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom