Uchaguzi unakaribia: Watanzania tuwalinde wanetu; wanasiasa wameanza kufanya kafara

lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
964
1,137
Ni matumaini yangu familia ya jf hamjambo! Kila tunapokaribia uchaguzi nchi huingia kwenye Lindi la mauaji makubwa ya albino,watoto na umri mbalimbali.

Unapokwisha uchaguzi na mauaji hukoma.
Hii inatoa tafsiri kuwa wanasiasa wanao kwenda kugombea ni wahusika wakubwa wa mauajibhayo.

Hivyo Watanzania tuwalinde watoto wetu ili wanasiasa wasiwatoe kafara kwaajili ya kupata nyadhifa serikali.

Hawa watu ni mabaya sana, wapo tayari kutoa roho za watu bila woga. Kwakuwa wafanyayo hayo ni wanasiasa,vyombo vya dola hukosa nguvu za kuchukua hatua za makusudi kuwabaini waharifu. Huko njombe watoto kumi wameuawa ikisadikiwa ni imani za kishirikina.nawasirisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawatafanikiwa lolote na laana itawapata na familia zao wote

Tatizo la mtanzania ndio hilo, shirk
Halafu wanalaumu mambo mengine yasiyowahusu na kutetea ya nchi zingine

Muache unafiki na hao wanaojiita wakubwa wa dini ndio wanafiki wakubwa
Wanashindwa kukemea mambo kama haya
Bora nao wawe wachawi tu

Sent from my SM using Tapatalk
 
Wanasiasa ni watu hatari sana ,wanawatoa kafara watoto wao wa kuzaa , ije kuwa wa wengine.be care wataanza na albino.
 
Back
Top Bottom