Uchaguzi umeua upendo wa Watanzania kwa Selemani Jafo (Character assassination)

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Najiuliza, je ni mpango maridhawa wa baadhi ya wanao muogopa? Maana majina yaliyokuwa yanahusishwa na kumrithi JPM ni huyu bwana. Mh Majaliwa na Mh Lukuuvi hawa wajanja wawili kukiwa na jambo la kuboronga sana huwa wanakaa kimya si kwa bahati mbaya wanacheza bila kuharibu taswira yao kwa wananchi.

NINI KILIMPA RIDHAA YA JAMII (THE RISE OF JAFFO)

Ni kijana aliyekataa mfumo wa kufanya kazi kwa makiki; yeye alijikita kwenye umakini wa kazi na kufuata taratibu, mwanzo tulijua atapotea ila with time akajijengea BIG BRAND hadi wapinzani kama Zitto wamewahi kum-credit na kiasi cha kuonekana anafaa kuja shika nafasi ya juu kabisa .

THE FALL FOREVER OF JAFFO

Nina uhakika huyu kijana pasipo maagizo kazi ya kuipa ushindi wa wastani CCM kwa forgery za akili likuwa ndogo kwa huyu master mind ila wanasema "Kazi chafu lazima kuwe na wa kuifanya na lazima imchafue"

Kwa sasa ameshachemka, amejikita ku-force ionekane hajaharibu mfano kulazimisha majina ya waliojitoa yawepo why this? ELECTION IS A VOLUNTARY POLITICAL ACTIVITY.

Ubaya wapinzani wanao muda wa kutosha kumuacha uchi. 13 days are enough to make it look like the most foolish election ever on the continent

NAMSHAURI KAMA KAKA YANGU

Kinachomuua chura aliye kwenye sufuria ya maji ya kwenye gesi sio joto kali la maji bali kukazana kupandisha joto la ndani kuendana na la nje hadi inapofikia kugundua joto halitoshuka, anakuwa ametumia nguvu zote kuongeza joto maskini hata nguvu za kuruka hana inabidi aive Wachina wamle. KAKA RUKA RUKAA
 
CCM nafananisha na kijana fulani tukiwa shule ya msingi akijifanya anajua sana kujamba mfululizo. Tulimuonya sana akawa hasikii, siku moja akiwa katika harakati zake akajilazimisha kujamaba, Daah kumbe tumbo lilikuwa linamvuruga ile kujamba tuu akanyaaaa.

Tulicheka balaa jamani. Aibu ikamshika hakuwa na namna zaidi ya kwenda kuoga.

CCM wamelalamikiwa kila mara kufanya hujuma kwa wapinzani lakini hayakomi. Sasa hivi badala ya kujamba wamekunyaa, Shame on you. Mnanuka mavi hakuna mtu atakaye shirikiana na ninyi mpka mkajisafishe mavi hayo.
 
Ma ccm nayafananisha na kijana fulani tukiwa shule ya Msingi akijifanya anajua sana kujamba mfululizo. Tulimuonya sana akawa hasikii, siku moja akiwa ktk harakati zake akajilazimisha kujamaba Daah kumbe tumbo lilikuwa linamvuruga ile kujamba tuu akanyaaaa. Tulicheka balaa jamani. Aibu ikamshika hakuwa na namna zaidi ya kwenda kuoga.
Ma ccm yamelalamikiwa kila mara kufanya hujuma kwa wapinzani lakini hayakomi. Sasa hivi badala ya kujamba yamekunyaa, Shame on you. Mnanuka mavi hakuna mtu atakaye shirikiana na ninyi mpka mkajisashe mavi hayo.
Magu ana roho ya uharibifu na hajijui so tunaomba watu wa kujitoa na kumwelimisha.
 
Leo kageuka tena, Jana alisema Walioomba wote wakagombee leo kabadili kauli. kasema wale waliopitishwa kugombea tu. ndo watakaoshiriki kupigiwa kura
Kapiga hesabu kaja na mpya tena eti ni marufuku kujitoa ,hata ukijitoa jina lako halitoki ,Chadema wameshawawahi wamesema hawataki nembo yao itumike
 
Tatizo sio Jafu, tatizo ni huyu mzee aliyepinda bichwa ka korosho ni rais wa ajabu na hovyo kuwahi kutokea, hivi anafikiri watangulizi wake hawakuwa na akili? Ameleta aibu kubwa kwa taifa.
 
Kitendo cha kubadilisha alichokizungumza Jana ,
kiongozi Mkubwa kama huyo its a big mistake.
Nadhani viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamko kwan matamko yanapobadilika badilika inakuwa ni ubabaishaji.
Kapiga hesabu kaja na mpya tena eti ni marufuku kujitoa ,hata ukijitoa jina lako halitoki ,Chadema wameshawawahi wamesema hawataki nembo yao itumike
 
Kitendo cha kubadilisha alichokizungumza Jana ,
kiongozi Mkubwa kama huyo its a big mistake.
Nadhani viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamko kwan matamko yanapobadilika badilika inakuwa ni ubabaishaji.
Kura hatupigi na hatugombei. 24 nendeni na sare za chama chenu mkachaguane muongozane wenyewe
 
Tatizo sio Jafu, tatizo ni huyu mzee aliyepinda bichwa ka korosho ni rais wa ajabu na hovyo kuwahi kutokea, hivi anafikiri watangulizi wake hawakuwa na akili? Ameleta aibu kubwa kwa taifa.
Hivi ni uchaguzi wa Serikali za Mitaa tu ndiyo iliyowapagawisha namna hii?? Tutarajie makubwa zaidi Twenty Twenty. Lakni kwa upande mwingine tayari Wafuasi wake nchini na hata kungineko Duniani wameshajua ni Kiongozi wa aina gani tuliye nae. Kajipaka kinyesi mwili mzima.
 
Back
Top Bottom