Uchaguzi umeisha tuangalie kinachofuata.....


Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Likes
22
Points
135

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 22 135
Ndugu zanguni wana JF,

Mimi kama mtanzania nisiekuwa na chama sina budi kuchukua fursa hii kuwapongeza wananchi wenzangu kwa uvumilivu mlioonyesha katika kipindi kigumu cha uchaguzi hasa matukio yaliyokuwa yakitokea sambamba na upigaji na kuhesabu kura.

Kutokana na mazingina ya katiba ya nchi yetu hakuna chochote kitakachofanyika kwenye nafasi ya urais kwahiyo nadhani kwa majimbo yenye kuaminika kuwa yalikuwa na uvunjaji wa haki za msingi za wapiga kura hakuna budi kupeleka kesi mahakamani ili kuitisha chaguzi ndogo na kuongeza nguvu bungeni.
 

Forum statistics

Threads 1,204,355
Members 457,240
Posts 28,154,509