Uchaguzi Umeisha! Sasa ni makali ya Mgao wa Umeme KULIKONI?

Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,393
511
Naripoti nikiwa maeneo ya tabata Kimanga, Eneo lote hili umeme umekatika mida ya saa nne kasoro kama dakika 15 (2145hrs)

Nahisi ndo mpango wa kuchakachua kura za Segerea
 
Ni mwendo mdundo kama Ubungo hakuna kuingia mtu wala kutoka hadi akaguliwe, ikiwezekana hadi kwenye nyeti kudadadeki!!
 
Mdee,Mnyika nendeni uko mkaongeze uzito pls .
Kama kulala mtalala next week pls
 
Nina wasiwasi kuna kitu kinafanyika hawezekani kila ikifika sa 0945 mbezi beach umeme wanakata sijui kwingine

Jana walikata sa 2145 hrs na leo hivyo hivyo

Kuna mtu anaweza kunisadia kinachoendelea
 
Ujinga mtu kwani siku ngapi umeme unatatikaga Au ndio utie dosari tuu?, Kaoge ukilamalize nenda na wewe ukalinde mlangoni.
 
Roho inauma sana kwa kweli. Hivi CCM kuna watu wenye dhamila na kumuogopa Mungu. Kama kuna mtu ambaye anasema ameokoka na anasupport CCM, ajue anajidanganya na anasupport wizi, Mungu hapendi.
 
Re: Umeme umekatika tabata
Ujinga mtu kwani siku ngapi umeme unatatikaga Au ndio utie dosari tuu?, Kaoge ukilamalize nenda na wewe ukalinde mlangoni.

NAHISI HUJUI MAANA YA VITA
A WAR IS WON BEFORE THE FIGHT BEGINS, NI MAMBO YA MBINU 2
KAMA HUJUI RUDI SHULE
 
Mwanadad mdee mwacheni apumzike ila soja Mnyika leo ukakeshe huku usisahau boardgurds wako wa Loyola.
 
wewe jamaa vipi mbona una fikra mgando, who said change is cheap, think beyond your nose young lad? alaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
wewe jamaa vipi 'SEXON2000' who said change is cheap, think beyond your nose young lad and stop being myopic alaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Sitakaa nijute kuchagua CHADEMA! In fwakt, nina raha sanaaaaa hata hayo mengine siyaoni. Teh teh teh teh!!!
 
hata mimi nasema wakate tuu huo umeme, coz mwisho wa siku hata hao ndugu zao ni majirani zetu hatuwataki!!
 
wana CCM mtueleze tangu jana maeneo mengi ya dar hakuna umeme,jee hayo ndiyo mazingira ya kutoa ajira 1M?nathubutu kusema yeyote aliyeipa kura CCM HANA AKILI TIMAMU!!!
 
Tangu juzi Umeme unakatwa maeneo mengi dar, hasa mchana. Je, kunani? Mbona wakati wa kampeni haukukatwa kwa kiwango hiki?
 
Sasa unataka degree kujua kuwa wameshashinda na hawana sababu ya kuwapa umeme na huduma nyingine mpaka wakati wa kampeni 2015?
 
Jibu jepesi na rahisi.... wanakata umeme ili waendelee kuchakachua na wananchi msiangalie TV na kusikiliza Radio kupata matokeo ya kura za awali.................. UCHAKACHUAJI huoo
 
Back
Top Bottom