jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
hawajui kama kupata umeme ni haki yako ya kimsingi ya kikatiba.
hawata kusikiliza tena, walikuongopea wakati wa uchaguzi, sasa unaona their true color!!!!!!!!!
watakuzungusha kama jina lako, ili siku nyingine ya uchaguzi utakuwa na kizunguzungu hutajua cha kufanya ispokuwa kuwarudisha madarakani.
wakati unaofaa ni sasa wape elimu wanaokuzunguka.