Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Electoral Commission (EC) chairman Simon Byabakama Saturday credited opposition frontrunner Robert Kyagulanyi aka Bobi Wine with 3,119,965 votes as his percentage surged to 34.62% as ruling National Resistance Movement (NRM) party presidential candidate, Yoweri Kaguta Museveni’s percentage lead significantly dwindled from 61.98% to 58.83%.

This, the first time incumbent president Museveni’s percentage vote count fell below 60%, since tallying commenced Thursday at the national tally centre, Kyambogo, Kampala. However, should Mr Museveni maintain lead above 50%, he stands chance to win and extend his rule to 40 years.

According to EC provisional results, Mr Museveni is pacing on with 5,303,831 votes of the 9,100,865 valid votes in.

2021 Presidential election provisional results from 30,098/34,684 polling stations received so far (86.78%) released January 16, 9:20am
Presidential CandidateCandidate’s PartyCumulative vote tallyPercentage (%)
Amuriat Oboi PatrickForum for Democratic Change (FDC)296,6453.29
Kabuleta Kiiza JosephIndependent39,8020.44
Kalembe Nancy LindaIndependent33,1290.37
Katumba JohnIndependent32,6920.36
Kyagulanyi S Robert aka Bobi WineNational Unity Platform (NUP)3,119,96534.62
Nobert MaoDemocratic Party (DP)49,9040.55
Mayambala WillyIndependent12,1240.13
Mugisha Muntu GAlliance for National Transformation (ANT)59,5050.66
Mwesigye FredIndependent21,8410.24
Tumukunde Henry KIndependent44,4270.49
Museveni T KagutaNational Resistance Movement (NRM)5,303,83158.83
Valid votes in9,100,865
Invalid Votes 336,4473.6% of votes cast
Spoilt votes26,704
Number of votes9,347,31251.63 of registered voters
Total Number of registered voters 18,103,603

*Accurate as per January 16, 2021 (9:25am Local EAT) with the next batch of provisional results set to be released by the Electoral Commission on January 16, 2021 (11:30am Local EAT)

Constitutionally, president elect should be declared within 48 hours from the time polls closed, Thursday 4pm.
 
Museven Ni Kile Anachokiona Akiachia Madaraka!!! Hapana Haiwezekan!!!!
JamiiForums-1613404619.jpg
 
Hii video ni ya dakika tano tu
Angalia mwenyewe kituko kilichomo wakati kiongozi wa tume ya uchaguzi ya uganda akitangaza matokeo ya uraisi.Angalia mwenyewe halafu comment kituko ulichokiona hasa maana yake nini?

Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Judgement yako ni myopic, Ana elimu nzuri tuuuuu
 
Haswaa.
Bobie kazoa viti vingi vya wabunge,kawaangusha mpaka mawaziri nguli wa babu Mu7.
Lisu kapukutisha wabunge wote aliowakuta alafu kasepa.
Kuna kitu watz mnakuwa wasahaulifu sana, kwamba kile tume yenu ilichofanya dhidi ya wapinzani toka uchaguzi wa serikali za mitaa, leo mnakuja kusema Lissu kapukutisha what's this..?
 
Kuna kitu watz mnakuwa wasahaulifu sana, kwamba kile tume yenu ilichofanya dhidi ya wapinzani toka uchaguzi wa serikali za mitaa, leo mnakuja kusema Lissu kapukutisha what's this..?
Kwanini serikali za mitaa ziligomewa na vyama pinzani?
Izo sababu za kugomea uchaguzi serikali za mitaa kwenye uchaguzi mkuu azikuwepo mpaka wakashindwa kugomea pia?
Bobie hana upinzani wa kuigiza ndo maana baada ya kupata nafuu kwenye matibabu yake fasta alirudi UG.tofauti na anko Tundu karudi kugombea tu akuja mapema kupanga mikakati.
Pamoja na viashiria na vitisho vyote vinavyo mzunguka Bobie lakini hatokimbilia ubalozini au europe kama anko Tundu,kwasababu Bobie aigizi.
 
Unafuatilia kinachojili kabla ya kutangazwa mshindi na baada ya kutangazwa mshindi pale Uganda hasa kumuhusu kyagulanyi?

Na kwa nini itokee hivyo?
 
Unafuatilia kinachojili kabla ya kutangazwa mshindi na baada ya kutangazwa mshindi pale Uganda hasa kumuhusu kyagulanyi?

Na kwa nini itokee hivyo?
Sijui unalenga upande gani au kuhusu jambo lipi linalomuhusu Kyagulanyi maana yaliyotokea ni mengi.

Ila minasisitiza Kyagulanyi aigizi,hana upinzani wa kuigiza kama wanasiasa wa hapa Bongo.

Kajipanga vizuri ndo maana kavuna wabunge wengi hata kura alizopata si haba.
Kyagulanyi ajatoka Ulaya ghafla na kufikia kugombea Urais kama Ankal Tundu aliepukutisha wabunge wote na kubakiza mmoja kisha akasepa.
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Unachokisema hi maoni ya wengi, hasa pale unapofuatilia siasa ukiwa umeegemea upande mchache:
Kuwa msanii hakuwezi kuwa sifa ya kutokuwa Rais. Mara nyingine jiulize nini kilimfanya awe msanii:

Kwenye nchi zenye madikteta ajira Bora na guess nyingine ni za ukoo.
Bob anaelimu ya juu ambayo huyo mwenzie haha.
Bob ni mwekezaji, Ana miradi mikubwa, anasifa nyingi za kuwa Rais wa Uganda kiliko hata huyo babu
 
Kama siyo Ukraine sijui nchi gani rais wao alikuwa comedian
 
Back
Top Bottom