Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,572
- 217,937
Kikosi cha ulinzi wa rais humlinda asimalizwe tu , hakiwezi kuzuia asing'oleweTetesi umezitoa wapi mkuu?
Mkuu wa PSU ni mtoto wake,sijui watamgeukaje.
Kikosi cha ulinzi wa rais humlinda asimalizwe tu , hakiwezi kuzuia asing'oleweTetesi umezitoa wapi mkuu?
Mkuu wa PSU ni mtoto wake,sijui watamgeukaje.
Infiltration waliyonayo jeshini unaifahamu lkn?Kikosi cha ulinzi wa rais humlinda asimalizwe tu , hakiwezi kuzuia asing'olewe
Stomach politicsWelcome to african politics
Wenzetu wana taasisi imaraKwa Trump hali hiyo si ya kawaida. Trump alitaka kupora uchaguzi alioshindwa kwa kishindo. Pamoja na kufungua kesi 62 hakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai yake hivyo kesi zote 62 alizofungua kupinga matokeo ZILIPIGWA CHINI...
Ndomana alijifananisha na quarter pinM7 kutoka madarakani ni kifo au kupinduliwa.
Wenzetu wana taasisi imara
Ova
Thanks Mama D.you tooHappy New Year digba sowey
Kukodi wale wa Burundi ni US$500 kwa siku, wale wanaua vijana wanaoandamana kama wanaua kuku.Museveni kwisha habari yake , kuna tetesi hao wanajeshi watamgeuka
We ni mpumbavu kweli kea akili yako lissu alishinda uchaguzi?Mkuu kwani Watanzania tulimtaka huyo anayejiita mwendawazimu aendelee kubaki madarakani? Hata yeye mwenyewe alijua hapendwi na umati kwenye kampeni za Lissu Nchi nzima ukamtia hofu kubwa hivyo akaamua kufanya uporaji.
Hivyo ndivyo huko itakavyokuwa huko Uganda hiyo January 20th na wengi wataumizwa, kutiwa vilema na hata kupoteza maisha yao.
Nyie mlishinda uchaguzi uliopita?Kilichotokea Tanzania ndio kinakwenda kutokea Uganda, ushindi wa kimbunga.
Sema huwezzi endelea wewe kwa ujinga wako siyo wote,huwezi kushinda mitandaoni ukipinga kila kitu na kusambaza chuki kisha uenddeleeHatuwezi endelea
Kama mnajua hamuwezi kushinda kwa makaratasi mnaingia kwenye uchaguzi wa makaratasi wa nini?Mu7 atashinda tu mzee baba
Nchi za kiafrika huwez shinda kwa makaratasi
Ndomana m7 anajiita quarter pin
Ova
Kimekuchekesha nini hapo?kuna cha kuchekesha hap
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani
kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Waganda KWA Sasa wako active, moto utawaka,Cha msingi hatutaki wakimbiziKilichotokea Tanzania ndio kinakwenda kutokea Uganda, ushindi wa kimbunga.
Ujui chochote kuhusu maendeleo kaa kimyaaSema huwezzi endelea wewe kwa ujinga wako siyo wote,huwezi kushinda mitandaoni ukipinga kila kitu na kusambaza chuki kisha uenddelee
Naona nchi ya Uganda iko vitani!!Huu ni uchaguzi au ni vita
Exactly...Safari hii hatuitaji wakimbizi bk Kama moja ya mikoa yetu, mseven tumemlea Kama nchi ,but KWA Sasa akubali hawezi shinda Uchaguzi mY be KWA mtutu wa bunduki,and he will pay